Yajue Maisha yalivyo jela

Yajue Maisha yalivyo jela

Kwanini mashirika yanayotoa misaada ya kisheria yasiende kuwasaisldia hao waliosingiziwa? Waliokaa mahabusu miaka mitano anaona Bora ningefanya hayo ninayotuhumiwa niwe hapa kihalali. Kuna mashirika, mpk mawakili wa serikali, na legal aids mbalimbali ikiwemo na ya Mhe Rais hebu wawe wakiwakumbuka na hao kama Kijana aliyeokota risasi
Mkuu ukitaka ujue serikali yetu imelala nenda jera utashuhudia mengi Sana na mazito Sana

Ukiwa pale unaweza kuingiwa mpaka na akili za kimapinduzi ili labda maisha yaanze upya
 
Kuna wafungwa Hawa huwa na uniform Tena moja tu Yani haijarishi atakaa mdagani hapo jera huwa nayo moja tu

Kwahiyo akienda shambani ikilowa atatembea nayo.hivyo hivyo labda ataifua ataikamua au kuianika na ataivaa hivyo hivyo

Lakini pia kwasababu ya kuwanayo moja Basi humlazimu kila jioni kuuwa chawa kwa vidore wano ishi humo kwenye hiyo uniform

Sasa Kuna wale mahabusu wale wanaokuwa labda walikatiza eneo walilo uwa mtu pasipo kujua

waka kutana na police waka sombwa

Kuna wale walio kuwa wamelala ndani mwao upenuni mwao wakauwa mtu pasipo wao kujua

Ile Wana amka hasubuhi wakakutana na Polisi Waka bebwa na pelelezi zinaendelea

na wamekaa hapo jera kwa mda mlefu

inaweza kuanzia miezi mpaka miaka mitano Hawa ndiyo ambao nguo huwaishia mkuu

Kumbuka jera hupewi uniform Kama haujakutwa nahatia na kuhukumiwa

Mfungwa ndiye hupewa uniform sio mahabusu
Hawa Tanganyika Law Society inabidi hii iwe moja ya agenda zao.

Kupigania uchunguzi uendeshwe mapema, kama uchunguzi haujakamilika watuhumiwa wapewe dhamana au waachie huru. Ni kesi chache hazina dhamana.

Kuboresha mazingira jela. Hakuna sababu ya msingi ya kuishi na chawa, kuweka mafuta ya taa kwenye chakula.

Kesi ndogondogo wahusika wapewe community services kupunguza msongamano magerezani.
 
Aisee juzi kati nimekutana na wafungwa sehemu wanalima wakaniomba chochote kitu tu kama ninacho,nikawapa elfu 5 asee wale jamaa walinishukuru sio poa.
Hiyo pesa huiacha counter pale pindi anapokuwa na shida labda ya sukali,mafuta au sabuni

Hununuliwa na maaskali jera

So uliwa saidia Sana mkuu ubalikiwe
 
Hawa Tanganyika Law Society inabidi hii iwe moja ya agenda zao.

Kupigania uchunguzi uendeshwe mapema, kama uchunguzi haujakamilika watuhumiwa wapewe dhamana au waachie huru. Ni kesi chache hazina dhamana.

Kuboresha mazingira jela. Hakuna sababu ya msingi ya kuishi na chawa, kuweka mafuta ya taa kwenye chakula.

Kesi ndogondogo wahusika wapewe community services kupunguza msongamano magerezani.
Inchi zilizo endelea huwezi.kumkamata mtu kabla haujapata ushahidi

Lakini huku kwetu police ana kukamata ndipo anaenda kutafuta ushahidi

Haijarishi ata tafuta ushahidi kwa mda gani

nahata asipo upata hawezi.kukulipa kwa kukupotezea mda

Kwajinsi Hali ilivyo na mazingila ya kisheria yalivyo police anauwezo wa kukutupa ndani bila hatia na aka kuolea mkeo vizuli tu
 
Inasikitisha mno.

Matendo ya ushoga ni ubakaji au utakaji?
Pesa zinanunua haki yoyote mfano ya kulala penye afadhali au mwenye pesa na asiye nazo wote sawa?
Hawa wanaoingiliwa kimwili wanapata matibabu baada ya kujeruhiwa sehemu zao za siri au wanaachwa waoze?
 
Kumbuka Hawa wano ingiliwa huingiliwa kwa Siri Sana

Na wanao kuwa wanajua Ni wafungwa lakini wafungwa Hawa ruhusiwi kuongea na askali jera nilazima wapite kwa nyapala

Na nyapala ndiye mhalifu mwenyewe
 
6) gerezani kuna ushoga na mashoga wapo lakini nikosa kumwita shoga. shoga"

Atakacho kifanya huyo shoga nikwenda kwa nyampala mkuu nakuku shtaki kumtaka kimapenzi ili na wewe uongezewe siku gerezani ili uje uwe ashoga Kama alivyo yeye

so unakuwa unawajua mashoga Ila una kausha kwani hizo ni mboga za nyapara
Samahani,katika kitu kinachopigwa sana vita huko gerezani hasa Tanzania ni ushoga, ikigundulika utajuta, sifahamu ulikuwa gereza gani ,ila litakuwa mkoani.
Kama una nia ya kujenga, litaje hilo gereza ili hatua stahiki zichukuliwe.

Kuna wafungwa wazoefu humu, tupeni uzoefu wenu kuhusu hali ya ushoga huko magerezani coz inawezekana watu wanaangalia magereza ya Dar es salaam na kuhisi yote ni kama ya mikoani.
 
Kumbuka Hawa wano ingiliwa huingiliwa kwa Siri Sana

Na wanao kuwa wanajua Ni wafungwa lakini wafungwa Hawa ruhusiwi kuongea na askali jera nilazima wapite kwa nyapala

Na nyapala ndiye mhalifu mwenyewe
Nimekuelewa. Hivyo hiwezi jua ni ubakaji au makubaliano. Lawama zote kwa serikali, binadamu anahitaji kufanya ngono, kumfungia ndani bila kumpa hii haki lazima patatokea matatizo kama haya.
 
basi nikanmwona mtu wakwanza kavua mpaka woote tukamaliza naku chuchumaa tukiwa tume ugeukia ukuta😳
 
Nimekuelewa. Hivyo hiwezi jua ni ubakaji au makubaliano. Lawama zote kwa serikali, binadamu anahitaji kufanya ngono, kumfungia ndani bila kumpa hii haki lazima patatokea matatizo kama haya.
Umeongea vizuli mkuu hebufikilia kuhusu shule za watoto wakike pekee

Na zile za watoto wa kiume pekee

Unadhani Kama taifa tunawa peleka wapi watoto zetu?

Sasa jera mtu anakaa miaka hajafanya lile Jambo na ananguvu/cheo

Unadhani mwisho wake Nini?

Kuna wakati serikali nivi baraka wa ushoga japo wanajificha nyuma ya vyombo vya habari kwamba Wana pinga ushoga
 
Umeongea vizuli mkuu hebudikilia kuhusu shule za watoto wakike pekee

Na zile za watoto wa kiume pekee

Unadhani Kama taifa tunawa peleka wapi watoto zetu?

Sasa jera MTU anakaa miaka hajafanya lile Jambo na ananguvu/cheo

Unadhani mwisho wake Nini?

Kuna wakati serikali nivi nataka wa ushoga japo wanajificha nyuma ya vyombo vya habari
Inasikitisha mno mkuu. Haya ngoja tuangalie namna ya kutoa misaada kwa magereza zilizo karibu.
 
Back
Top Bottom