Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
- Thread starter
- #121
Ilitosha kuishia hapo mkuu huko mbele umeborongaMatumizi ya R na L hujihangaishi kabisa mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilitosha kuishia hapo mkuu huko mbele umeborongaMatumizi ya R na L hujihangaishi kabisa mkuu?
Hakika Kuna kila.sababu kwa wao kufanya hivyo mkuuIla hz mambo za kuliwa kiboga,mabwana jera wangefanya utaratibu wa kufatilia
Mkuu ukitaka ujue serikali yetu imelala nenda jera utashuhudia mengi Sana na mazito SanaKwanini mashirika yanayotoa misaada ya kisheria yasiende kuwasaisldia hao waliosingiziwa? Waliokaa mahabusu miaka mitano anaona Bora ningefanya hayo ninayotuhumiwa niwe hapa kihalali. Kuna mashirika, mpk mawakili wa serikali, na legal aids mbalimbali ikiwemo na ya Mhe Rais hebu wawe wakiwakumbuka na hao kama Kijana aliyeokota risasi
Hapana si Mimi mkuuWewe ni injinia japhet wa x
Hawa Tanganyika Law Society inabidi hii iwe moja ya agenda zao.Kuna wafungwa Hawa huwa na uniform Tena moja tu Yani haijarishi atakaa mdagani hapo jera huwa nayo moja tu
Kwahiyo akienda shambani ikilowa atatembea nayo.hivyo hivyo labda ataifua ataikamua au kuianika na ataivaa hivyo hivyo
Lakini pia kwasababu ya kuwanayo moja Basi humlazimu kila jioni kuuwa chawa kwa vidore wano ishi humo kwenye hiyo uniform
Sasa Kuna wale mahabusu wale wanaokuwa labda walikatiza eneo walilo uwa mtu pasipo kujua
waka kutana na police waka sombwa
Kuna wale walio kuwa wamelala ndani mwao upenuni mwao wakauwa mtu pasipo wao kujua
Ile Wana amka hasubuhi wakakutana na Polisi Waka bebwa na pelelezi zinaendelea
na wamekaa hapo jera kwa mda mlefu
inaweza kuanzia miezi mpaka miaka mitano Hawa ndiyo ambao nguo huwaishia mkuu
Kumbuka jera hupewi uniform Kama haujakutwa nahatia na kuhukumiwa
Mfungwa ndiye hupewa uniform sio mahabusu
Hiyo pesa huiacha counter pale pindi anapokuwa na shida labda ya sukali,mafuta au sabuniAisee juzi kati nimekutana na wafungwa sehemu wanalima wakaniomba chochote kitu tu kama ninacho,nikawapa elfu 5 asee wale jamaa walinishukuru sio poa.
Inchi zilizo endelea huwezi.kumkamata mtu kabla haujapata ushahidiHawa Tanganyika Law Society inabidi hii iwe moja ya agenda zao.
Kupigania uchunguzi uendeshwe mapema, kama uchunguzi haujakamilika watuhumiwa wapewe dhamana au waachie huru. Ni kesi chache hazina dhamana.
Kuboresha mazingira jela. Hakuna sababu ya msingi ya kuishi na chawa, kuweka mafuta ya taa kwenye chakula.
Kesi ndogondogo wahusika wapewe community services kupunguza msongamano magerezani.
Jifunze kuona dhahabu katikati ya myamba migumu basinaona L na R ni mgogoro
Kumbuka Hawa wano ingiliwa huingiliwa kwa Siri SanaInasikitisha mno.
Matendo ya ushoga ni ubakaji au utakaji?
Pesa zinanunua haki yoyote mfano ya kulala penye afadhali au mwenye pesa na asiye nazo wote sawa?
Hawa wanaoingiliwa kimwili wanapata matibabu baada ya kujeruhiwa sehemu zao za siri au wanaachwa waoze?
Samahani,katika kitu kinachopigwa sana vita huko gerezani hasa Tanzania ni ushoga, ikigundulika utajuta, sifahamu ulikuwa gereza gani ,ila litakuwa mkoani.6) gerezani kuna ushoga na mashoga wapo lakini nikosa kumwita shoga. shoga"
Atakacho kifanya huyo shoga nikwenda kwa nyampala mkuu nakuku shtaki kumtaka kimapenzi ili na wewe uongezewe siku gerezani ili uje uwe ashoga Kama alivyo yeye
so unakuwa unawajua mashoga Ila una kausha kwani hizo ni mboga za nyapara
Nimekuelewa. Hivyo hiwezi jua ni ubakaji au makubaliano. Lawama zote kwa serikali, binadamu anahitaji kufanya ngono, kumfungia ndani bila kumpa hii haki lazima patatokea matatizo kama haya.Kumbuka Hawa wano ingiliwa huingiliwa kwa Siri Sana
Na wanao kuwa wanajua Ni wafungwa lakini wafungwa Hawa ruhusiwi kuongea na askali jera nilazima wapite kwa nyapala
Na nyapala ndiye mhalifu mwenyewe
Umeongea vizuli mkuu hebufikilia kuhusu shule za watoto wakike pekeeNimekuelewa. Hivyo hiwezi jua ni ubakaji au makubaliano. Lawama zote kwa serikali, binadamu anahitaji kufanya ngono, kumfungia ndani bila kumpa hii haki lazima patatokea matatizo kama haya.
Inasikitisha mno mkuu. Haya ngoja tuangalie namna ya kutoa misaada kwa magereza zilizo karibu.Umeongea vizuli mkuu hebudikilia kuhusu shule za watoto wakike pekee
Na zile za watoto wa kiume pekee
Unadhani Kama taifa tunawa peleka wapi watoto zetu?
Sasa jera MTU anakaa miaka hajafanya lile Jambo na ananguvu/cheo
Unadhani mwisho wake Nini?
Kuna wakati serikali nivi nataka wa ushoga japo wanajificha nyuma ya vyombo vya habari
Hakikamliachwa salama?
Umeme lakini huwa Kuna wakati unakatikaJela mnatumia taa za umeme au solar au karabai?
Hili ni janga la kitaifa kwa sasa.Matumizi ya R na L hujihangaishi kabisa mkuu? Kweli madhara ya shule za kata ni dhahili kwasasa