Yajue Maisha yalivyo jela

Yajue Maisha yalivyo jela

hii ni thread niliyosoma kila comment ningeamua kumwaga like ningevunja record ya yule jamaa mmwaga like
aisee gerezani sio pw just mtu umezingiziwa au uko mahabusu for years na ujafanya kosa unapitia kipindi kigumu namna hii .....ni huzuni
 
Na hiyo kuchuchumia masaa mawili si miguu inakufa ganzi. Wagonjwa, wazee, walemavu vipi kuhusu kuchuchumaa assembly?

Jela zetu inabidi ziwe na balance kati ya punishment na rebilitation. Pamoja na adhabu ya kufungwa inabidi kuwajenga wafungwa wawe raia wema sababu mwisho wa siku wengi watarudi uraiani.
Inchi imepata Uhuru lakini sheria Ni zilezile za mkolononi

Sheria zinazo tweza utu wa mtu mweusi

bado zinatumiwa kutweza utu wa mtu mweusi na mtu mweusi mwenyewe

Hii inahitaji ukombozi wa kifikra kwa watu weusi pengine Mambo yata badilika

Hatuwezi kujiita watu huru huku tukiwa tuna ziabudu Sheria zilizo tumika kuwa tesa wazee wetu huko nyuma
 
hii ni thread niliyosoma kila comment ningeamua kumwaga like ningevunja record ya yule jamaa mmwaga like
aisee gerezani sio pw just mtu umezingiziwa au uko mahabusu for years na ujafanya kosa unapitia kipindi kigumu namna hii .....ni huzuni
Inaumiza Sana mkuu Yani sio kidogo na kinacho umiza zaidi nikwamba hata baada ya kusingiziwa na kusita huko

Siku ukija kutoka hakuna fidia utapewa

Yani unahukumiwa adhabu sawa na mkosefu Kisha unakuja kugundulika haikuwa na kosa na unatolewa pasipo pole Wala fidia"

inaumiza Sana mkuu
 
Jela za Tanzania na kwingineko zimevuka mipaka ya kumuadhibu mhalifu na kuingia kwenye kuutweza utu wa binadamu hivi mfano huyo anayewaambia wafungwa wainame awakague mpaka mkunduni hivi yeye mwenyewe sijui anafikiriaje kuhusu hiyo kazi yake,anawachungulia mpaka watu wenye umri wa zaidi ya wa baba yake,na viongozi wetu wanayajua haya na wala hawana habari nayo sijui pengine wanayaacha ionekane jela ni jehanamu kuwa discourage watu wasifanye makosa ya kuwapeleka huko
Mkuu Africa hatuja fikia level ya kujitawala bado tuna paswa kutawaliwa

Kuna jera ipo huko Zambia watu wana changanyiwa unga wa ugali na cement

Huwezi amini mkuu ngoja nifuatilie Ni gereza gani ntakujuza mpaka jina
 
Lengo ni nini la unga na cement
Hicho Ni chakula ambacho mfungwa hupewa kwania ya kumuuwa talatibu bila yeye kujua

Kumbuka sio wafungwa wote hupewa isipo kuwa wale walio hukumiwa maisha

Na wale majambazi na wauwaji wakiwemo nawale walio ingia jera mala kadhaa huchukuliwa Kama masugu
 
Lo! they get rid of them in that develish manner
 
Back
Top Bottom