Yajue Maisha yalivyo jela

Yajue Maisha yalivyo jela

Ngoja share kisa mimi na rafik yangu kugombana....
Back 2005 au 2006...rafiki yangu tangu utotoni akiwa Dr binadam wilaya fulani ....alianza mchezo abortion ma binti.....habari zilafikwa kwao.....wakamwita kumkanya sana..( laana) akifanya tena....wazazi swala 5 ile ile....

Jamaa alianza pombe...akawa anaendelea......siku ya siku akaletewa binti amfyatue..wakaenda chumba cha Dr mwenzie wanapiga deal wote......binti kaletwa ba bF wake na shemeji yake .....jamaa wakainfia kazini saa 10 jioni hadi saa 3 ....nyumva kupanga wana.....

Itaendelea
 
Hata usiendelee! Uandishi gani huu usioeleweka..
 
Hilo gereza ulilofungwa hali yake ilikuwa hivi?? Hili ni segerea (DSM) kwa mujibu wa Boni Yai.

Ndani ya gereza Kuu la Mahabusu Dar es Salaam - Segerea kuna sehemu kubwa na maarufu kama tano;

Sehemu ya kwanza; nje ya gereza, wageni hufika na kusubiri utaratibu wa kuingia ndani kuona ndugu zao. Kuna Canteen, Duka na eneo la kukaa wageni.

Sehemu ya pili; Jengo la Utawala ambalo ndiyo ofisi ya Mkuu wa Gereza maarufu “Bwana Jela” na askari wake wanasimamia wafungwa na mahabusu ndani ya gereza.

Sehemu ya tatu; “ujambazini”, huko kuna vyumba vya Jela 10 na kila Kimoja kina idadi maalum ya watu, mfano namba 10 inachukua watu zaidi ya 200 na zaidi.

Sehemu ya nne; Upande maalum (Special Wing) wanaishi mahabusu au wafungwa ambao ni watoto chini ya miaka 18, mahabusu, wafungwa wachache

Sehemu ya tano; “PC - Private Cell”. Huko hupelekwa watu watukutu au wanaotenda makosa wakiwa ndani ya gereza nje na makosa wanayopelekwa nayo gerezani.

Ujambazini selo zipo 10 zikiwa zina Mahabusu na Wafungwa wanaokadiriwa kuwa 600

katika hao 600 mahabusu pekee wapo 500 kule Ujambazini kote na Mahabusu 400 wote wanakabiliwa na mashitaka ya Ujambazi (armed robbery) na cha ajabu zaidi wote mashitakata yao yametokea zehemu moja, kwa "Dulla Ma-robbery" nitaeleza siku nyingine kwa upana hapa.

Kwanini wanaita special wing? Ni swali kila mtu anajiuliza ndani ya gereza na nje ya gereza lakini hakuna mwenye majibu kamili. Kwa sababu siku hizi hata Ujambazini kuna TV zenye ving'amuzi vya DSTV na AZAM kila Jengo.

Ujambazini kula chakula cha gerezani (ugali maharage umejitakia tu) sababu watu wa Ujambazini wanaruhusiwa kuweka order ya chakula cha canteen.

Hapana mkuu kule hakupo hivyo kule majambazi,wauwaji,machinja chinja,navibaka pamoja na waizi wa kuku na wale wenye majeraha wakiwemo na mahabusu wote hukusanywa pamoja

Na wote huenda kukinga chakula sehemu moja/mess
 
Wenyewe wajela jela wanaita " maisha haya.....Jehanamu duniani" ......
Kiukweli sja wai kuskia japo nime shuhudia Kuna watu wakiambiwa mda wao kuishi pale umeisha

hufanya juu chini huko ulaini ili waludi Tena jera lakini sjui Kama sababu itakuwa hiyo
 
Kwa sisi tulio wahi kua jela nilikua nashuhudia watu wakiweka sigara ,sigara znanunuliwa pakti moja ,alaf zinatolewa kwenye pakti zinawekwa kweny karatas ya nailoni kama Ile mifuko miyeus iliyopigwa marufuku ,yaan anachana kipande Cha iyo nailoni na kuweka zile sigara zikiwe zimeviringishwa midhili ya barafu sema inakua fupi ,,alaf anaweza paka mafuta au mate alafu anaisokomeza huku matakoni ,anachukua ingine anaisokomeza ,Kwa iyo anaweza beba idadi kubwa tuu,,,Akifka kule sigara inaweza kuuzwa jero ,au buku ,kumbuka inaweza kua biashara ya hata afande ,,bangi pia nlishuhudia
Duuh!!!
 
Hivi naomba kuuliza kati ua jawa nani anachangia zaidi maisha ya jela kuwa magumu Nyapara,Askari magereza,wafungwa wakorofi na wababe,pia ninasikiaga kuna mtu anaitwa kiherehere huyu ndio nani huko jela
1)nyapala,na kielehele, ndiyo hufanya jera kuwa mgumu askali Hana shida ukiwa jera labda utishie kutoloka

2) kielehele huyu nimsaidizi wa nyampala au mnoko/mkuda wa nyapala na tabia zake nikama jina lake linavyo itwa
 
Mbona Askari nasikia wanapiga sana virungu na wababe haswa kuna mzee alitoka jela akawa anaalalamika miguu yake imelegezwa kwasababu ya marungu ya askari
 
Umenikumbusha kuna brother mmoja kazini kwetu alipata kesi ngumu sana akakaa kama siku 29 ndani. Alivyotoka akawa anasema, asee mdogo wangu ukiskia mtu anamtishia mwenzie kwamba nitakuua nikafungwe usimjibu wala kuingilia ila nenda shemu tulivu muombee sana huyo jamaa.
 
Inaonekana ni hatari.
 
Inchi zilizo endelea huwezi.kumkamata mtu kabla haujapata ushahidi

Lakini huku kwetu police ana kukamata ndipo anaenda kutafuta ushahidi

Haijarishi ata tafuta ushahidi kwa mda gani

nahata asipo upata hawezi.kukulipa kwa kukupotezea mda

Kwajinsi Hali ilivyo na mazingila ya kisheria yalivyo police anauwezo wa kukutupa ndani bila hatia na aka kuolea mkeo vizuli tu
Mie nakuloga yani naweza kuwa radhi kuuza kila kitu changu kwa ajili yako
 
Mbona Askari nasikia wanapiga sana virungu na wababe haswa kuna mzee alitoka jela akawa anaalalamika miguu yake imelegezwa kwasababu ya marungu ya askari
Askali hupiga ukuiwa kituoni hasa Kama unakataa kosa hukupiga ili ukubali lakini sio jera Ila kingine kinacho legeza Sana miguu hasa magoti jera Ni Ile kuchuchumaa sana
 
Back
Top Bottom