Yajue Maisha yalivyo jela

Yajue Maisha yalivyo jela

Wanachuchumaa wakiwa wanafanya nini
Unapo ongea na nyapala unachuchu maa

Unapo ongea na askali una chuchumaa

Mkiitwa assemble mna chuchumaa

Tena assemble ndiyo baraa mna weza kukaa masaa hata mawili mme chuchumaa kumbuka sio kukaa mnakuwa mme chuchumaa
 
Sasa mbona ni adhabu ndani ya adhabu ?? Hii ni sawa kweli?
 
Kwanini mashirika yanayotoa misaada ya kisheria yasiende kuwasaisldia hao waliosingiziwa? Waliokaa mahabusu miaka mitano anaona Bora ningefanya hayo ninayotuhumiwa niwe hapa kihalali. Kuna mashirika, mpk mawakili wa serikali, na legal aids mbalimbali ikiwemo na ya Mhe Rais hebu wawe wakiwakumbuka na hao kama Kijana aliyeokota risasi
Hayo yapo kwa ajili ya wenye nacho tu
 
je tuta zuia ushoga jera kweli?

Ndiyo maana wanasema
Kama jera ni shule mpeleke mwanao sio mwana wa mwenzio
Cc @Mshana Jr , @Ushimen @Bantu Lady @To yeye @Evelyn Salt @Scars @Greatest Of All Time @Frank Wanjiru @MALCOM LUMUMBA @dudus
 
Unapo ongea na nyapala unachuchu maa

Unapo ongea na askali una chuchumaa

Mkiitwa assemble mna chuchumaa

Tena assemble ndiyo baraa mna weza kukaa masaa hata mawili mme chuchumaa kumbuka sio kukaa mnakuwa mme chuchumaa
Mantiki yake ni nini au wameweka utaratibu wa kuwatesa watu
 
Pole sana ndugu.
Maisha ni safari yenye changamoto za kila aina.
Tuishi kwa kumuomba Mungu kuepuka jela.
Maana jela si mahali pa watu wa aina furani.
Jela mahali pa wote.
 
Hakika ukifanya hivyo uta balikiwa Sana Tena kabla hauja wapelekea tembelea kwanza

Utawaona wanao hitaji msaada hata hata kwa kuwa angalia tu

waulize majina yao Kisha wapelekee mkuu uta barikiwa
Kwani raia wanaruhusiwa kuingia ndani kuona ili kujua mahitaji ?
 
Wasiishie kuongea Kwenye matiivii tunatoa misaada ya kisheria na siku ya sheria kutoa msaada Kwa wananchi walio huru mitaani badala kuanzia na ndugu wanaoozea huko Kwa kesi za kusingiziwa.
Mkuu Maneno mengi kuhusiana na misaada ya kisheria ni porojo za kisiasa.
Bandiko hili inaonyesha namna wanasheria na hasa Tanganyika Law Society wanavyofanya siasa kwenye mambo ya msingi.
 
Ni upuuzi na kukomoana tu
Jela za Tanzania na kwingineko zimevuka mipaka ya kumuadhibu mhalifu na kuingia kwenye kuutweza utu wa binadamu hivi mfano huyo anayewaambia wafungwa wainame awakague mpaka mkunduni hivi yeye mwenyewe sijui anafikiriaje kuhusu hiyo kazi yake,anawachungulia mpaka watu wenye umri wa zaidi ya wa baba yake,na viongozi wetu wanayajua haya na wala hawana habari nayo sijui pengine wanayaacha ionekane jela ni jehanamu kuwa discourage watu wasifanye makosa ya kuwapeleka huko
 
Hivi hawawezi kutumia scanner zinazoangalia ndani ya mwili?
 
Unapo ongea na nyapala unachuchu maa

Unapo ongea na askali una chuchumaa

Mkiitwa assemble mna chuchumaa

Tena assemble ndiyo baraa mna weza kukaa masaa hata mawili mme chuchumaa kumbuka sio kukaa mnakuwa mme chuchumaa
Na hiyo kuchuchumia masaa mawili si miguu inakufa ganzi. Wagonjwa, wazee, walemavu vipi kuhusu kuchuchumaa assembly?

Jela zetu inabidi ziwe na balance kati ya punishment na rebilitation. Pamoja na adhabu ya kufungwa inabidi kuwajenga wafungwa wawe raia wema sababu mwisho wa siku wengi watarudi uraiani.
 
Back
Top Bottom