Yajue Maisha yalivyo jela

hii ni thread niliyosoma kila comment ningeamua kumwaga like ningevunja record ya yule jamaa mmwaga like
aisee gerezani sio pw just mtu umezingiziwa au uko mahabusu for years na ujafanya kosa unapitia kipindi kigumu namna hii .....ni huzuni
 
Inchi imepata Uhuru lakini sheria Ni zilezile za mkolononi

Sheria zinazo tweza utu wa mtu mweusi

bado zinatumiwa kutweza utu wa mtu mweusi na mtu mweusi mwenyewe

Hii inahitaji ukombozi wa kifikra kwa watu weusi pengine Mambo yata badilika

Hatuwezi kujiita watu huru huku tukiwa tuna ziabudu Sheria zilizo tumika kuwa tesa wazee wetu huko nyuma
 
hii ni thread niliyosoma kila comment ningeamua kumwaga like ningevunja record ya yule jamaa mmwaga like
aisee gerezani sio pw just mtu umezingiziwa au uko mahabusu for years na ujafanya kosa unapitia kipindi kigumu namna hii .....ni huzuni
Inaumiza Sana mkuu Yani sio kidogo na kinacho umiza zaidi nikwamba hata baada ya kusingiziwa na kusita huko

Siku ukija kutoka hakuna fidia utapewa

Yani unahukumiwa adhabu sawa na mkosefu Kisha unakuja kugundulika haikuwa na kosa na unatolewa pasipo pole Wala fidia"

inaumiza Sana mkuu
 
Mkuu Africa hatuja fikia level ya kujitawala bado tuna paswa kutawaliwa

Kuna jera ipo huko Zambia watu wana changanyiwa unga wa ugali na cement

Huwezi amini mkuu ngoja nifuatilie Ni gereza gani ntakujuza mpaka jina
 
Lengo ni nini la unga na cement
Hicho Ni chakula ambacho mfungwa hupewa kwania ya kumuuwa talatibu bila yeye kujua

Kumbuka sio wafungwa wote hupewa isipo kuwa wale walio hukumiwa maisha

Na wale majambazi na wauwaji wakiwemo nawale walio ingia jera mala kadhaa huchukuliwa Kama masugu
 
Lo! they get rid of them in that develish manner
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…