machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Itaendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya mkate Yana fanya nachelewa bwana kibisaImeendelea na itaendelea........
ItaendeleaMuendelezo
Shuleni tulikua tunawekewa mafuta ya taa kwenye chakula mpaka tukaja kujua, wanasema inapunguza nyege, nadhani jela, vituo vya polisi na mashuleni wanafanya mpaka Leo hiiNifungue tuone hili Jambo maana mpaka natoka nilikuwa sjalipatia jibu mkuu
Kama huto jari lakini
%Shuleni tulikua tunawekewa mafuta ya taa kwenye chakula mpaka tukaja kujua, wanasema inapunguza nyege, nadhani jela, vituo vya polisi na mashuleni wanafanya mpaka Leo hii
JF NI LIFE COACH (SKILLS ZOTE ZIPO)...Yajue jinsi maisha yalivyo jera no 2
Nilipo fika kwenye ule mlango wa cell Ile na kutazama ndani sikuamini na ilikuwa Kama naota..
Kwanza ni mionekano ya watu waliopo ndani ya gereza ilini shangaza Sana
Vichwa vyao vyote vimenyolewa vipara na langizao nikama wote Wana fanana/wamepauka
Mithili ya mtu anaye shinda kwenye mashine za kusaga akajifuta vumbi ya unga lakini Kuna Ile vumbi kwa mbaali inayo bakia
Baada ya kusogea zaidi pale ndani nikaona vipande vya vimagoro vile vyembamba/ulimi wambwa. vipande vyake Sasa
Vime kusanywa sehemu lundo Kama mchanga ulio mwagwa na na tipa kwenye ukuta wa Ile cell yenyewe
Niliona watu wengi wakiwa Katika mwonekano wa kukata tamaa nyuso zao zime poteza matumaini ya kuishi kabisa
Walionekana wamekata tamaa na Hawa ijui kesho hatima yao hakika jera nikuzimu jera sio duniani jera ni upade wa pili wa dunia
Nikiwa nime zubaa alisogea Yule nyampala aliye nipokea pale nje na kuniambia Sasa nataka niku tambulisheni kwa viongozi wa gereza
Akaanza kutu tambulisha mmoja baada ya mwingine kuanzia kierehere mpaka nyampala mkuu
Baada ya kumaliza kutu tambulisha Yule nyampala msaidizi akatu peleka kwa kiingozi mwingine
Ambaye nikiongozi wa nidhamu hapo cell na jukumu lake nikuku uliza ulikuwa una fanya kazi gani huko mtaani/urain
Kwanini umefika pale gerezani na nimshauri pia anaweza kuku shauri jinsi ya kui epuka kesi yako Kama Ina wezekana
Lakini pia huwa na maswali ya kinafiki kwamfano anaweza kuku uliza pale dilishani Kuna nondo ngapi?
Ukijibu hovyo utachezea baraa Mambo ya jera hayo
Basi baada ya kukutanishwa na viongozi wote wa cell ndio tuka pelekwa kwa nyampala mkuu na huyu ndiye mkuu wa gereza kwa upande wa wa fungwa wote na mahabusu
Wale viongozi pamoja na Yule mkuu wao wakatufundisha Sheria zote za gereza na jinsi ya kuishi gerezani sheria a zenyewe nikama ifwatavyo
1)kiongozi yeyote wa gerezani awe mkubwa au mdogo chochote atakacho kuambia imatakiwa uitikie ndiyo bwana mkubwa
kinyume chake ni makofi 15 mazito ya kiatu Cha tairi ya gali/gurubasi ya mgongoni/mbata wao waita hivyo"
2)ukiwa gerezani iwe chooni unajisaidia au popote pale ukiskia filimbi inatakiwa ulale kifudi fudi zingatia popote pale"
kwamaana hiyo Kama nu chooni hata kimba au mkojo wewe lalia
kinyume na hapo kitakacho kukuta ni shida"
3) ukiingia chooni hauruhusiwi kukojoa umesimama Ina takiwa ukojoe umechuchumaa"
na unapo kojoa hautakiwi mkojo usikike kinyume chake ni tatizo"
4)kuna kuwa na ndoo ya maji na vikombe viwili kimoja Cha kuchotea na kingine ni chakunywea ukichukua kikombe Cha kunywea ukachotea kichapo"
Na ukichukua kikombe Cha kuchotea ukanywea kichapo"
Unacho takiwa kufanya nikuchukua kikombe Cha kuchotea unachota maji.
Baada ya kuchota maji kwenye ndoo unaya miminia kwenye kikombe Cha kunywea.
Baada ya kuya mimina una kiweka kikombe juu ya mfuniko wa ndoo/juu ya ndoo kwa kuki funika/juuchini Kisha unakunywa maji
Shariti lingine usichote maji ambayo huwezi Kuya maliza kuyanywa kinyume chake utaisoma namba
5)UKipiga makofi gerezani tafsiri yake nikwamba una neno/au unataka kuzungumza Jambo
Kwahiyo UKipiga makofi watu wote huacha kuzungumza na kuku tazama wewe wakusikilize una semaje?
Hivyo gerezani kuwa makini wakati wa kuuwa mbu aliye tua kwenye ugoko wako yasije yaka kukuta
6) gerezani kuna ushoga na mashoga wapo lakini nikosa kumwita shoga. shoga"
Atakacho kifanya huyo shoga nikwenda kwa nyampala mkuu nakuku shtaki kumtaka kimapenzi ili na wewe uongezewe siku gerezani ili uje uwe ashoga Kama alivyo yeye
so unakuwa unawajua mashoga Ila una kausha kwani hizo ni mboga za nyapara
7)gerezani hauruhusiwi kupiga story mda wa kulala
8)gerezani ukifika mda wa I abada ni lazima uhudhulie hasa ibada ya kabra ya kulala
Haijarishi ni ibada ya kikristo au kiisramu chamsingi usikilize tu
9)unaopo enda chooni ukii kuta ndara ipo mlangoni na zimeangalia ndani/kuelekea chooni usii ngie Ina maanisha Kuna mtu
Kinyume chake ingia hiyo itakuwa Ina maanisha hakuna mtu
10)jera Kama utakuwa na tatizo au shida yoyote hauruhusiwi kwenda kwa askali magereza moja kwa moja
unacho takiwa kufanya nikwenda kwa Nyampala Kisha Nyampala atampa taarifa nyampala mkuu
Kisha Nyampala mkuu ndiye ata Kaye fikisha taarifa kwa Askari wa gereza kinyume na hapo nitatizo
Na hapo ndipo ushoga unapoanzia kwamba mfungwa
anaingiliwa kimwili na mwanaume mwenzie/nyampala
Na ili mfungwa huyo atoe taarifa kwa askali magereza nilazima apitie kwa Nyapala
na nyampala huyo huyo ndiye anaye mla mfungwa
je tuta zuia ushoga jera kweli?
Ndiyo maana wanasema
Kama jera ni shule mpeleke mwanao sio mwana wa mwenzio
Na yafwatayo nimengine ambayo nikama sheria ndani ya jera....
Itaendelea....
Utaratibu ni wa kudhalilishana sana kama kweli wanafanya hivyo. Kazi nyingine jamani😭😭😭😭🙆🙆🙆 wanakagua Hadi back stage? Sasa mtu utaficha Nini huko jamani?
Asante nimeshaipitia broTayali mkuu
Mmmh kivipi Killing machineJera hakuna mateso mateso yanaletwa na wafungwa wenyewe
Alizinguaje yaani, kwa ufupi tu.Tuombeane jela sio kabisa....haswa ukiwa kesi haina dhamana....mbaya mnoooo....kuna jamaa Bank moja alizingua pesa za ATM tangu 2008 hafi leo yuko ndani.....sijui ile kesi itaisha lini...amesota sana mali zoote kwisha skitoka masikini wa kuanza upya
Alifuja pesa ATM akiwa boss kusimamia kuweka pesa ATM zote za Bank anayofanyia kazi....hupewa ATM card hazina limit ujue recon tu....unaweza kujisahau unazila ti mara unashangaa imefika 200m ndani muda fulani wKija auditor umeisha.....publuc fund...Alizinguaje yaani, kwa ufupi tu.