Tatizo ni la mfumo, kesi zote zilitakiwa ziwe na dhamana.Kwanini mashirika yanayotoa misaada ya kisheria yasiende kuwasaisldia hao waliosingiziwa? Waliokaa mahabusu miaka mitano anaona Bora ningefanya hayo ninayotuhumiwa niwe hapa kihalali. Kuna mashirika, mpk mawakili wa serikali, na legal aids mbalimbali ikiwemo na ya Mhe Rais hebu wawe wakiwakumbuka na hao kama Kijana aliyeokota risasi
Kiukweli kwa mazingila yalivyo sizani Kama Kuna uwezekano huoMkuu vipi ushawahi pata habari ya watu waliotoroka huko
Utaratibu wa kutembelea upoje? Maana kuna watu wanapaogopa unaweza ukaenda mule usirudi uraiani ukabakia humo humo kwa hio toa maelezo kila siku unaruhusiwa kwenda kutembelea na kuwaona wafungwa na unapitia taratibu zipi ili mtu aelewe maana panatisha pale Mimi nikipishana na wafungwa wananiangalia kwa huruma sana kuna kitu wanatamani kuniambia ila sijui wanataka kusema nini kwa hio wanapokodoa macho naogopa hata kuwasogelea na pia ungeongeza sio jela zote wanaishi maisha magumu hivyo kuna jela zingine treatment ni nzuri zaidi km upo uraiani tuHakika ukifanya hivyo uta balikiwa Sana Tena kabla hauja wapelekea tembelea kwanza
Utawaona wanao hitaji msaada hata hata kwa kuwa angalia tu
waulize majina yao Kisha wapelekee mkuu uta barikiwa
Magereza ya Dar es salaam huwa naona kama upo uraiani kasoro uhuru tu.pia ungeongeza sio jela zote wanaishi maisha magumu hivyo kuna jela zingine treatment ni nzuri zaidi km upo uraiani tu
Nenda kamtetee yuko jela ...Hii kesi mbona ni ya madai na sio uhujumu uchumi?!
Sio Dar tu magereza mengi ya mjini ila kuna baadhi ya magereza ndio changamoto sana especially yaliyo mbali na mji kuna mmoja alilielezea gereza moja humu uzi upo na alilitaja mpaka lilipoMagereza ya Dar es salaam huwa naona kama upo uraiani kasoro uhuru tu.
Ama ndo Ile kesi wanaita wizi akiwa mtumishiHii kesi mbona ni ya madai na sio uhujumu uchumi?!
Ndio maana kawaambia Sabuni ni zaidi ya dhahabu au almasi ukiwa jela wapelekee na mafuta ya kupakaa watakushukuru sana na utabarikiwa kwa kiasi chakoNa hapo ndipo ushoga unapoanzia kwamba mfungwa
anaingiliwa kimwili na mwanaume mwenzie/nyampala
Na ili mfungwa huyo atoe taarifa kwa askali magereza nilazima apitie kwa Nyapala
na nyampala huyo huyo ndiye anaye mla mfungwa
je tuta zuia ushoga jera kweli?
Kwani ni benki ya serikali?Ama ndo Ile kesi wanaita wizi akiwa mtumishi
Hivi NBC na NMB ni za Makaburu?Kwani ni benki ya serikali?
Hakuna benki ya serikali yenye huduma za ATM
Kama kaenda mpaka jela na yupo Hadi Sasa hivi maana yake jinai anayo huyo. Ingawa sijui ni Kwa kosa ganiKwani ni benki ya serikali?
Hakuna benki ya serikali yenye huduma za ATM
Mali za wanahisa, serikali inamiliki hisa lakini sio majority shareholder.Hivi NBC na NMB ni za Makaburu?
Inawezekana ikawa ni kosa la jinai lakini hapo hakuna kesi ya uhujumu uchumi.Kama kaenda mpaka jela na yupo Hadi Sasa hivi maana yake jinai anayo huyo. Ingawa sijui ni Kwa kosa gani
Utaratibu wa kutembelea upoje?Pole sana ndugu yangu MUNGU MWENYEZI awasaidie wafungwa wote
Niliwahi kwenda jela lakini nilipeleka rozari pamoja na vitabu vya Sala sikujua kama na sabuni ni muhimu anather day uchumi wangu ukifunguka nitaelekea huko kupeleka hivyo vitu
Asante sana