Yajue majina ya Kinyakusya na maana zake

Yajue majina ya Kinyakusya na maana zake

tusa ni kifupisho cha tusajigwe===tumebarikiwa
 
ipumba - kabuli
Maswebele - kumbikumbi
Isupuni - kijiko
Isukulu - shule
Nsebo - barabara
Ikisu - dunia/nchi
Mwikemo - mtakatifu
Lugano - upendo
Ifindu - chakula
 
Tunsume - tumsifu
Tumpale - tumuombe

Wenye.majina zaidi watiririke hapa
Naruhusu corrections
Hicho kinyakyusa cha JF ndio Tunsume ina maanisha Tumsifu badala ya tumwombe !
 
Akasenyenda-tetemeko
Tununu-salama(unapotamka haka kaneno lazima mdomo uende mbele)
Ngambili-nyani
Ingwina-mamba
Unyoko-mama yako
Koma kumwanya-piga juu
Ikiketelo-kioo
Ikyeni-paji la USO
N'ngoghi-muuaji
Amakambo-ndumu
 
Ikikwekano---- msalaba
Ntungulu ------ muongo
Umweghi----- muoaji
Tukatele,------ tumechoka
 
Back
Top Bottom