Yajue majina ya Kinyakusya na maana zake

Yajue majina ya Kinyakusya na maana zake

Asesisye

Asangalwisye
- Amenichangamsha (Mungu)

Isakwisa
- Atarudi ( Mungu)

Asumwisye
- Ameniamsha ( Mungu )

Asubisye
- Ameniriwadha ( Mungu)

Asagwile - Amenichagua ( Mungu )·

Kwa kifupi majina mengi ya kinyakyusa ya mwanzoni yana uhusiano na kumshukuru Mungu, mfano

Gwakisa- Mungu wa huruma
Tuntufye- Tumtukuze Mungu
Lugano - Mungu wa upendo
Andendekisye- Mungu amenitengeneza

Naishia hapo kwasa
 
ipumba - kabuli
Maswebele - kumbikumbi
Isupuni - kijiko
Isukulu - shule
Nsebo - barabara
Ikisu - dunia/nchi
Mwikemo - mtakatifu
Lugano - upendo
Ifindu - chakula
Imunyu - chumvi
Hamisi - maji
Unyambala - mume
Ummanyani - Nisaidieni banyakyusa... Ni rafiki au ndugu?
 
Kinyakyusa neno "mwa" maana yake ni "mwana wa" ivyo wanafupisha kwa mfano kuna mtu anaitwa "mwangomale" maana yake ni "mwana wa ngomale"
Mwanguku = mwana wa kuku [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bashite....asiyejali

lughano...upendo

Atughanile....anatupenda

Lwitiko...imani
 
Back
Top Bottom