Yajue majina ya Kinyakusya na maana zake

Yajue majina ya Kinyakusya na maana zake

Mara nyingi majina ya kinyakyusa yanayoanza na ( mwa) mengi hayana maana ya moja kwa moja, ila majina yanayoanza na ( A,T,L,au N) mfano..
Atuganile- anatupenda
Tuntufye-tumsifu
Lusekelo- furaha
kupakisyo- mhurumiwa, ama msamehewa
Nsajigwa - mmbarikiwa.
tukija kwenye majina ya ( mwa) mfano:
Mwakyoma
Mwasakafyuka
Mwasampeta
mwansasu
Mwakanyamale
Mwasongwe
Mwakalindile
Mwakyembe n.k haya majina hayana maana mahususi.
 
Tunsume - tumsifu
Tumpale - tumuombe

Wenye.majina zaidi watiririke hapa
Naruhusu corrections
We lengo lako uwajue wanyakyusa wa JF
Tunsume - tumwombe Mungu
Tumpale - tumsifu Mungu

Kumbuka wanyakyusa ni washika dini sana.
Kanisa Moravian ndilo maarufu sana kule.
 
Ikitangalala
Inyinoghono
Ingisi
Imbepo
Inyansitu
Ingalamu
Inyangalilo
Ingili
Unsebho
 
Back
Top Bottom