Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,473
kulikuwa na lugha kadhaa kama kihadimu, kimakunduchi, kitumbatu nkNijuavyo mimi Swahili ni lugha ambayo imeanzishwa katika karne hizi za karibuni. Ukiangalia maneno mengi ni lugha ya kigeni ikiwemo kireno, kiarabu, kijerumani na kidogo kutoka kwenye lugha zetu za kibantu.
Sasa ikiwa ni lugha mpya....wazanzibari walikuwa wanawasiliana kwa lugha gani. Naamini walikuwa na makabila na lugha zao za kikabila. Lakini kutokana nasmichanganyo mingi ya damu sijui niseme modernization inawezekana zikawa zimepotea na kusahaliwa.
Correct me if im wrong....