Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waunguja, wagunja, washiraji, washihiri......................
Waunguja, wagunja, washiraji, washihiri......................
ukubwa wa zanzibar ni sawa na ukubwa wa tandale!
jamani kuna taarifa kwanza zanzibar hakuna makabila kama ilivyo tanzania bara, je nini kimepelekea hivi au ndio mambo ya kutawaliwa na mwarabu? wazenji wote wanaongea kiswahili hila kwa lafudhi tofautitofauti. wakuu nini kimepelekea zanzibar kutokuwa na makabila kama bara?
Kwenye dini madhubuti hakuna ukabila
Kwenye dini madhubuti hakuna ukabila
Aliyekuambia hakuna makabila ni nani?? Una elimu gani wewe? ..hukusoma shule kuhusu visiwani na wenyeji wake? Watumbatu, washilaz, wapemba nk!! Hata wanyamwezi wapo!! Kama hukuwahi kusikia makabila huko basi jua hakuna ukabila ila makabila yapo!! .umeelwa we mbwiga na ukabila wako??

Leo umetoa post yenye akili kidogo hongera
Wapemba : pemba
Watumbatu : tumbatu
Washilazi :shilazi.
Naona tunatajiwa sehemu watokazo Wakati mada inataka kabila.
Je nasi tuseme hivi.
Watabora _ tabora
Wadodoma _ dodoma
Waarusha _ arusha.
?????
mkuu nashukuru umenisaidia kumuuliza huyu kalagabaho, naona hajaelewa mada
Wamegundua kuendekeza ukabila ni upumbavu. Kwa hiyo wametupilia mbali upuyzi huo,wao hujirambulisha kwa Uzanzibari wao.jamani kuna taarifa kwanza zanzibar hakuna makabila kama ilivyo tanzania bara, je nini kimepelekea hivi au ndio mambo ya kutawaliwa na mwarabu? wazenji wote wanaongea kiswahili hila kwa lafudhi tofautitofauti. wakuu nini kimepelekea zanzibar kutokuwa na makabila kama bara?