Afro-Arabica
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 1,107
- 492
Ahsante, 1. Upo sahih kuhusu uborongaji!!Maana ya kwenda na wakati haimaanishi kuwa watumiaji wa lugha ya kiswahili waache kutumia kiswahili sanifu. Nakushauri hebu angalia taarifa ya habari kwa kiswahili kati ya citizen tv ya kenya na tv station yoyote tz ndiyo utaelewa ninamaanisha kitu gani. Sisi tunadai kiswahili ndiyo lugha yetu ya taifa lakini ukweli tunaboronga sana kwenye matumizi yake na ndiyo maana kwenye vyuo kadhaa vya nje kwenye vitivo vya lugha ambapo kiswahili nacho kipo utaona waalimu toka kenya ndiyo wameshamiri. Wengi hamfahamu kuwa lugha ya kiswahili ina ladha yake masikioni na kama unadhani ninakutania hebu wasikilize jamaa wa tuki wanavyozungumza aidha kwenye tv au radio utashibisha masikio yako.
2. Huko US,Canada rafiki yangu alisomeshwa na mwl.from kenya lugha ya kiswahili... you are right.
3. Hapo juu sijaelewa unamaanaisha nini?
Mtu kwao shamba la bibi halina mpaliaji au mpangaliaji.