Yajue Makabila Yanayopatikana Tanzania Visiwani ( Zanzibar )

Yajue Makabila Yanayopatikana Tanzania Visiwani ( Zanzibar )

Maana ya kwenda na wakati haimaanishi kuwa watumiaji wa lugha ya kiswahili waache kutumia kiswahili sanifu. Nakushauri hebu angalia taarifa ya habari kwa kiswahili kati ya citizen tv ya kenya na tv station yoyote tz ndiyo utaelewa ninamaanisha kitu gani. Sisi tunadai kiswahili ndiyo lugha yetu ya taifa lakini ukweli tunaboronga sana kwenye matumizi yake na ndiyo maana kwenye vyuo kadhaa vya nje kwenye vitivo vya lugha ambapo kiswahili nacho kipo utaona waalimu toka kenya ndiyo wameshamiri. Wengi hamfahamu kuwa lugha ya kiswahili ina ladha yake masikioni na kama unadhani ninakutania hebu wasikilize jamaa wa tuki wanavyozungumza aidha kwenye tv au radio utashibisha masikio yako.
Ahsante, 1. Upo sahih kuhusu uborongaji!!
2. Huko US,Canada rafiki yangu alisomeshwa na mwl.from kenya lugha ya kiswahili... you are right.
3. Hapo juu sijaelewa unamaanaisha nini?
Mtu kwao shamba la bibi halina mpaliaji au mpangaliaji.
 
Miss nzega, wenyewe hawapendi waitwe wanyamwezi utagombana nao.
Shemeji Eee ubuheri wewee? au nikusabahi kisukuma Mwaderaah!! Just be fair.. kwa macho yako mwenyewe uonayo nipe asilimia tuu!!
Hao dada zako na mama zako na shangazi zako uwaonao mujini kila leo na kila kona na pembe zote ujuazo wao wapojee?!! Kwa namna ya mngaroo na urembo na kupenda uweupee pamoja na kujichubua rangi asili na kuupoteza uhalisi wa ngozi waloumbiwa nazo na Uweusi walozaliwa nao pamoja na kugeuza nywele halisi kinamna !! Sintofahamu utawaita WaBantu au kwa makabila hao? unafikiri watakubaliana nawe? Ng'o !! Usizibe mwanga wa jua kwa kiganjaa chako ukasema duuh kiza kimeingia !! Usijidanganye leo hii umwite Mwafirika '"mbantu" akakubali naona hapo mtakosana vibaya !! Nasikitika utakujaGOMBANA na wakina mama wa mitaani na uraiani " Wengi hupenda kujinasibuu na uawaarabu hata kama wewe hupendezewiiiii " ngoma hiyo nawaachia wadada wakujibu wenyewe.... kabla ya MKOROGO formula-10 kufika mujini !! Kanywe sumu sasa .
 
kama kuna makabila basi kuna ukoo je ukoo wao ni upi? huku kuna tarimo, chacha, wambura,msanja, nk
 
Naomba nielimishwe, Zanzibar kuna makabila mangapi? Ukiachia kuzungumza lugha ya Kiswahili, wana lugha zao za asili? Na kwann wazanzibar wanapenda kujiona waarabu kuliko wabantu? Asanteni.
Acha ukabila kilaza wewe
 
Naomba nielimishwe, Zanzibar kuna makabila mangapi? Ukiachia kuzungumza lugha ya Kiswahili, wana lugha zao za asili? Na kwann wazanzibar wanapenda kujiona waarabu kuliko wabantu? Asanteni.

Zanzibar itabaki kisiwa cha Waarabu na Waswahili tu. Na lugha lugha itazungumzwa kiarabu na kiswahili na kiingerza. Wabara mtabaki na UBANTU wenu na lugha zenu za jadi. Si ndiyo mnapendelea UBAGUZI huo ?
kama hamutaki Uswahili acheni * mtii na jongoo wake ** siye tutaukumbatia ustaarabu wetu na kulala na uswahili wetu.
 
Hao ni wanyamwezi, mie babu yangu yupo huko toka 1950 na kizazi chake chooote ni wanyamwezi, ila hawataki kabsaa kusikia juu ya unyamwezi huo zaidi ya Uzanzibari tu.
 
Kwan kujua historia ni ukabila? Mbona mnatoka mapovu wandugu! Nijuzeni historia ya Zanzibar, shule sikujifunza labda Kama kuna wengine walisoma, punguza jazba!
 
Kwahiyo rock city wazanzibar ni wanyamwezi? Inawezekana nilikuwa na rafiki yangu kutoka Zanzibar anaitwa Kanzule alikwenda kutafuta ukoo wa baba yake shinyanga akawapata alifurahi sana! Ivi kuna ukweli watu waliokuwa watumwa ni ignorant, maana naona wamarekani weusi hapa Japan, they're too ignorant.
 
A people without the knowledge of their past history, origin and culture is like a tree without roots.
Marcus Garvey.
 
Naomba nielimishwe, Zanzibar kuna makabila mangapi? Ukiachia kuzungumza lugha ya Kiswahili, wana lugha zao za asili? Na kwann wazanzibar wanapenda kujiona waarabu kuliko wabantu? Asanteni.
Wee Ngedere kwa wewe ulozaliwa juu ya mtii na kulelewa vichakani kwako sawa kuitwa Bantu au LiBantu. kutokana ubaguzi wako na bughudhaa iliyokujaa kifuani mwako. Lakini kwa waungwana wa bara wao ni wanamaendeleo wenye upeo na heshima za kibinaadamu wanajua la kuandika na wanafahamu mipaka hadidu ya kutamka. Nadhaani umeshapata uelewo tosha, bila kuelimishwa kwani sokwe haendi shule.!!
 
Still u didn't answer my questions, you're just dodging.
 
Hili neno Kabila nyie linawasaidia nini, mbona hamkuwi? Kabila lako lina kazi gani now days? Nyerere alisema mnaulizana makbila kwani mnataka kutambika?
Zanzibar hakuna kabila wala ukabila, kuna wazanzibari tu. Hata ile "shiraz" hivi sasa haina umuhimu. Ni Mzanzibari tu ndiyo muhimu.

Au na wewe huna kabila?
 
jamani mbona nasikia 'waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba?' hakuna waarabu huko?

jamani mbona nasikia 'waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba?' hakuna waarabu huko, au uarabu si kabila?
Kulikuwa na Waarabu zamani wengi wa waarabu wamezaa na watu weusi ndio maana wanaitana waarabu wa pemba maana Muarabu aliyezaliwa Pemba. Muarabu asili yake ni Uarabuni huku Afrika amekuja kibiashara ya Utumwa na Biashara nyingine kuna Muarabu mwenye asili ya Kiafrika? Kuna Mzungu mwenye asili ya Kiafrika? Kuna Muafrika mwenye Asili ya Ulaya?
 
Back
Top Bottom