Yajue Makabila Yanayopatikana Tanzania Visiwani ( Zanzibar )

kulikuwa na lugha kadhaa kama kihadimu, kimakunduchi, kitumbatu nk
 
Kwahiyo washirazi wanaongea kishirazi? Watumbatu nao kitumbatu, wagunya....e.t.c,nauliza tu jamani sio ugomvi nielewesheni.
WANAONGEA KISWAHILI.ISIPOKUWA LAHAJA ZAO TU NDO TOFAUTI MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…