Yajue mambo mazuri ya wakurya ambayo ulikuwa huyafahamu

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
KUNA PUNGUANI ALIANDIKA UZI KUKANDIA WAKURYA NA AKAFURAHI NA UZI WAKE MWENYEWE🚮

1: Kati ya kitu mkurya hana ni kitu kinaitwa ukabila tofauti na makabila mengi yaliyo kanda ya ziwa. Ukikuta sehemu mkurya ni boss basi utakuta variety tofauti ya kanda mbali mbali katika kazi yake.

2: Wakurya ni moja ya makabila machache wenye uwezo wa kuoa mwanamke mwenye mtoto then ana mu-embrace kuwa wa kwake na kumpatia jina la ukoo kabisa na kumfanyia yote ya kimila kama mtoto wake wa kumzaa.

3: Mkurya anapokuoa basi anaoa na vyote vinavyounganika na wewe. Madeni yako, mtoto wako, mdogo wako kama ulikuwa unaish nae thus vyote vinakuwa na wanakuwa chini ya uangalizi wake.

4: Kama mkurya ameoa au kuolewa basi hio ni chapa, ni ngumu mwanamke wa kikurya kukimbia ndoa. Sio kwamba anatishiwa bali norms zinamvuta. Wanawake wa kikurya ni loyal na wavumilivu.

5: Asilimia kubwa ya maendeleo ya mji wa Mwanza yametokana na wakurya. Ukija asilini kwao tarime mjini unaweza usikute maendeleo makubwa hio ni kuwa mji wa mwanza kutokana na ukaribu uliweza kuwavuta kifursa waliopata pesa tarime thus wakurya ni workforce ya maana.

6: Wakurya na uchawi ni kama maji na mafuta. Ukiona mkurya mtumia madawa basi hayo ni ya kuletewa thus wakurya kiasili hawako enginereerd katika uchawi kwnye maswala yao ya kitamaduni na maamuzi
 
Unajua kwanini wakurya wamejazana majeshini ambapo panahitaji matumizi makubwa ya nguvu kuliko akili?

Hao wamekuwa raised in violence society .
 
Nikiwa nasoma hawa jamaa walikua marafiki zangu wakubwa ila mwisho wasiku tunaishia kukunjana , ni watu poa sana ila binafsi mtu kunichukulia poa kimabavu ndio kitu sipendagi
Wako poa Ila wanakosa kitu inaitwa Emotional intelligence.

Ukienda Kivule kule DSM unaweza kuona wao kuuana ,kukatana mapanga ni jambo la kawaida Sana .

Kwahiyo Kama ambavyo katika ukoo wa wahaya hauwezi kumkosa Msomi ndivyo katika ukoo wa mkurya hauwezi kumkosa muuaji au akiyeuliwa kwa mauaji.

Ndo maana Wakurya wengi wapo majeshini wao kutesa, kuua, kuumiza ni jambo la kawaida sana .

Na wao awe mwanamke au Mwanamke wote wanafanana
 
Kuna mwamba mmoja nilimwita chalii akaona nimemdharau akanivaa kichwa kichwa nikampa banzi moja matata , kwanzia siku hiyo nikawa rafiki wa crew yao mkubwa
 
1: Kati ya kitu mkurya hana ni kitu kinaitwa ukabila tofauti na makabila mengi yaliyo kanda ya ziwa. Ukikuta sehemu mkurya ni boss basi utakuta variety tofauti ya kanda mbali mbali katika kazi yake.

2: Wakurya ni moja ya makabila machache wenye uwezo wa kuoa mwanamke mwenye mtoto then ana mu-embrace kuwa wa kwake na kumpatia jina la ukoo kabisa na kumfanyia yote ya kimila kama mtoto wake wa kumzaa.

3: Mkurya anapokuoa basi anaoa na vyote vinavyounganika na wewe. Madeni yako, mtoto wako, mdogo wako kama ulikuwa unaish nae thus vyote vinakuwa na wanakuwa chini ya uangalizi wake.

4: Kama mkurya ameoa au kuolewa basi hio ni chapa, ni ngumu mwanamke wa kikurya kukimbia ndoa. Sio kwamba anatishiwa bali norms zinamvuta. Wanawake wa kikurya ni loyal na wavumilivu.

5: Asilimia kubwa ya maendeleo ya mji wa Mwanza yametokana na wakurya. Ukija asilini kwao tarime mjini unaweza usikute maendeleo makubwa hio ni kuwa mji wa mwanza kutokana na ukaribu uliweza kuwavuta kifursa waliopata pesa tarime thus wakurya ni workforce ya maana.

6: Wakurya na uchawi ni kama maji na mafuta. Ukiona mkurya mtumia madawa basi hayo ni ya kuletewa thus wakurya kiasili hawako enginereerd katika uchawi kwnye maswala yao ya kitamaduni na maamuzi
Umesahau "Nyumba Nthobu" mutani! Ebu baerezee bajue utamu wake mura!!
 
Nikiwa nasoma hawa jamaa walikua marafiki zangu wakubwa ila mwisho wasiku tunaishia kukunjana , ni watu poa sana ila binafsi mtu kunichukulia poa kimabavu ndio kitu sipendagi
Hawa jamaa wamekaa kishari shari tu, urafiki wao waajabu, unaweza ukawa umetulia zako mara unashangaa kakupiga kabari la nguvu alafu kumbe mwezako anacheza tu
 
Wako poa Ila wanakosa kitu inaitwa Emotional intelligence.

Ukienda Kivule kule DSM unaweza kuona wao kuuana ,kukatana mapanga ni jambo la kawaida Sana .

Kwahiyo Kama ambavyo katika ukoo wa wahaya hauwezi kumkosa Msomi ndivyo katika ukoo wa mkurya hauwezi kumkosa muuaji au akiyeuliwa kwa mauaji.

Ndo maana Wakurya wengi wapo majeshini wao kutesa, kuua, kuumiza ni jambo la kawaida sana .

Na wao awe mwanamke au Mwanamke wote wanafanana
Joo!!! Wahaya tumefichiwa,, yaaan muhaya asisome sisi sio waha (watani)

MENEMENE TEKERI NA PERESI Poor Brain mhaya wa muleba
 
Chai ni nini boss? Samahani lakini
Screenshot_20250817-102855.png
 
Kuna mwamba mmoja nilimwita chalii akaona nimemdharau akanivaa kichwa kichwa nikampa banzi moja matata , kwanzia siku hiyo nikawa rafiki wa crew yao mkubwa
Ni jamii duni sana hiyo ukimtisha anatishika sana .

Wengi ndo hawa wanajeshi wake zao wanamegwa na bodaboda .

Kuna mmoja alikuwa ni mwnajeshi anampiga Dereva wa daladala fimbo za usoni dah ile issue iliniumiza Sana kiukweli na wakati anampiga Gari ilikuwa katika mwendo kisa tu wao wanafanya mazoezi barabarani
 
Back
Top Bottom