Yajue masharti ya kufuga njiwa: Hawapendi Umbea na Ulevi

Yajue masharti ya kufuga njiwa: Hawapendi Umbea na Ulevi

Wengine hutafta mabanda ya karibu wakiona wenzao ndio wanaitwa mateka kama una moyo mdogo waweza usiwafuge hawasemwi vibaya kama kuku au mfugo mwengine wanapenda kupeana romance s mchezo
@Madame_S
 
dunh noma sana kwa hiyo njiwa wanadeka kuliko wanawake wajawazito [emoji23][emoji23]

*nasikia hata ukinyoa kiduku wanaondoka, ukivaa jezi ya arsenal ndo wanabeba na kibanda kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we nduza Kweli aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi naombeni njia za kuwatimua tuu,wamehamia kwangu na wamezaliana mnoo,kila siku wanadondosha ceilling board za kuzunguka nyumba,nawatwanga manati ila ndio kama nimewaongezea kasi ya kuzaliana...
 
Mi naombeni njia za kuwatimua tuu,wamehamia kwangu na wamezaliana mnoo,kila siku wanadondosha ceilling board za kuzunguka nyumba,nawatwanga manati ila ndio kama nimewaongezea kasi ya kuzaliana...
Hata mimi wamehamia home hata sijui wametokea wapi ila nilichofanya ni kuwatengeneza banda wakae
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyongeza:
Hawapendi kusikia sauti za mahaba/za kubanjuana toka kwa binadamu.
Inashauriwa kuweka banda lao mbali na vyumba vya watu wazima ambao daily wanagegedana tena kavukavu.
Usipofanya hivyo njiwa watatomb@n@ sana na kushindwa kupata muda wa kula na hatimaye kufa wote kwa njaa!!
 
Hawakai kwa mlevi maana wanajua ipo siku watachinjwa kuliwa supu [emoji23][emoji16]
 
Sasa hapo kwenye kuwajulisha msiba, anasema njiwa wangu ee,nimefika na bibi yangu,, na utajuaje wameeleewa
 
Mi naomba kuuliza kwanini njiwa manga wanapenda sana nyumba za kishua? Yaani nyumba ikiwa ya hovyo hovyo huwezi kumkuta katua hta kwa bahati mbaya.....ila nyumba za kishua utawakuta wamejazana mpaka basi
 
Back
Top Bottom