Yajue masharti ya kufuga njiwa: Hawapendi Umbea na Ulevi

Mkuu ninaweza kukubali hoja zote lakini hiyo hapo ninahitaji ufafanuzi wa kina, kwani vipi pombe anywe mwingine yeye njiwa imuhusu vipi??!![emoji13]
Kwa sababu ukiwa mlevi utakua na fujo na makelele watakosa utulivu[emoji23]
 
Nimeshawahi kufuga njiwa sana. Nilifikisha mpaka zaidi ya mia moja. Karibu yote uliyoandika siyo kweli.
 
Njiwa wako overrated kama serikali ya awamu ya tano.

hamna ukweli wowote hapo ni pumba na mashudu.
 
Sawa ni hilo tu nimekosea?

Lakin kumbuka sokon kuna vyakula vyao vingi,hawawez kimbia chakula.

Ukiwafuga mtaani na kwako pana fujp lazima wataenda kuhamia kwa jirani tu au mbali zaidi.
Watu tunafuga Njiwa sokoni, halafu useme penye kelele hawakai, labda njiwa wako.
 
5,6,7 na 12 tu ndio ya kweli

Mengine yote uwongo mmemezeshwa. Nilishafuga. Hata sasa nikitulia nitafuga tena. Hizo ni ngonjera za vijiweni.
 
6,7 na 12 tu ndio ya kweli

Mengine yote uwongo mmemezeshwa. Nilishafuga. Hata sasa nikitulia nitafuga tena. Hizo ni ngonjera za vijiweni.


Zinakusaidia nn njiwa kufuga mkuu??🤔🤔.au mie siko sawa...!ndo nyie mnaofuga mende ati wana soko😅..mbona kuna mambo mengi ya kifanya jaman😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…