salumsimba12345
New Member
- Sep 11, 2018
- 4
- 2
Mkuu unamawazo kama ya kwangu ,bilashaka biashara ya matunda ni nzuri ,maana me nilishaga wahi kuifanya, ni inalipa sna endapo ukapata soko la uhakika na sehemu yenye mwingiliano wa watu wengi ,pia unaweza ukaanza na mtaji hata wa shng elf hamsini 50 , katika hii biashara inatakiwa use msafi na uyaweke matunda ky sehem inayomvutia mteja aweze kununua ,maana kuna wengine huwa hawajari usafi,Wadau naomba msaada kujua kiasi cha mtaji kinachotakiwa kuanzisha biashara ya kuuza matunda mchanganyiko pamoja na changamoto zake pia
#FursamiamiaKiukweli biashara ya uuzaj matunda inalipa sana kama utakuwa upo makini na kujali kile unachokifanya Aliko Dangote aliwahi kusema "Start small grow Big" pia tembelea fursamiamia - YouTube kujifunza mambo mbali mbali ya ujasiriamali
Mkuu naona hujafafanua kidogo unataka kufanya biashara ya matunda ya ndani au yale ya kutoka nje kama ma apples ya SA na bidhaa zingine zinazotoka huko au...ni vitu vya kuoza ndio changamoto yake kubwa soko lipo....
Ningekuona unaakili kama ungemsaidia mwana kumpa ideas mbili tatu ambazi ni unique kabisa lakini ulichofanya hapa sio kitendo cha kiungwanaTatizo LA wabongo ni kuigana igana... As I speak, kuna watu kama saba hivi wameanzisha hii biashara ya juice.. Same idea, same branding same everything... And here you are, trying to do the same shit..
Tafuta idea yako Mzee baba, something different from the usual..
Well, I'll be opening a rabbit grill in town soon, fuga sungura uje kuniuzia..
Sijafanya hiyo biashara ila ushauri ninaokupa ni kuwa msafi sana. Hygiene ni jambo la muhimu sana. Hata kama uko peke yako wakati wa kutayarisha matunda usione kuwa kwa vile hamna mtu basi unaweza kutozingatia sana swala la usafi. Watakuja wengine watatoa mchango wao. Kila la kheri.
tipsHelow wakuu
Poleni na majukumu
Nimekuja kwenu kuomba mnipe mawazo mbali mbali juu ya biashara ya matunda ya kukata kata
Nimeshapata eneo
Mungu akijaalia nitaanza muda si mrefu
Naomba wenye kujua zaidi je?
Ili nisipate hasara nifanyaje?
Ununuaji mpaka uuzaji na maboresho pia(uniqueness)
Namna gani niwe wa kipekee kuvutia wateja wengi na kufanya wabaki kwangu!
Naimani JF kuna wengi sana wa kunisaidia hili
Nami naombeni mawazo yenu tafadhalini kwani kwangu pekee siwezi
Pia mwenye kabati dogo la kioo(kama yale ya chips) naomba anicheki tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Naitaji kujua namna yakutengeza juic inayoweza kukaa siku 7 bilakualibika au wikitatu yamatunda lkiniAcha kumtisha bhana, Wise Sister, unaweza kuzipata hizi na ile yenye ubora kabisa inayoweza kusaga/kukamua machungwa, matango, apple, mapeasi n.k ni kama shilingi 200,000 na ile ya kukamua machungwa, nanasi n.k ni shilingi 50,000. Hii ya elfu 50 haihitaji umeme na unaweza kuitumia mahali popote. Hizo zote unatengeneza juice bila kuchanganya na maji. Mimi ninazo nyumbani kwa matumizi binafsi lakini pia zinafaa kwa biashara. Ili kuepuka kuharibika kwa juice pale umeme unapokatika mara kwa mara, ni vyema ukahifadhi matunda kwenye friji kwani mteja akija unaweza kumkamulia juice ndani ya dakika 2 akapata kiasi anachohitaji.
Karibu.