Yajue masuala mbalimbali kuhusu Biashara ya kuuza Juisi ya matunda ya aina mbalimbali

Yajue masuala mbalimbali kuhusu Biashara ya kuuza Juisi ya matunda ya aina mbalimbali

Tengeneza hizo juice, weka kwenye packages kisha uza kwa kutumia wakala ambao watakuwa kwenye kumbi za matangazo ya mpira,
kutembeza naona itakuwa inachosha...ni mtazamo tu
Jaribisha kwa kumbi unazozifahamu kisha ikilipa utajitanua,
 
Wakuu nina plan ya kufanya biashara ya jiusi fresh,,,nahitaji kujua dealers wanaotengeneza jiuce caps ambazo znaweza kuwa attached na logo
 
Wadau,

Hii biashara ya kuuza juice kama Mac juice inahitaji mtaji kama wa kiasi gani kufungua?
 
Tatizo la wabongo ni kuigana igana... As I speak, kuna watu kama saba hivi wameanzisha hii biashara ya juice.. Same idea, same branding same everything... And here you are, trying to do the same shit.

Tafuta idea yako Mzee baba, something different from the usual..

Well, I'll be opening a rabbit grill in town soon, fuga sungura uje kuniuzia..
 
Tatizo LA wabongo ni kuigana igana... As I speak, kuna watu kama saba hivi wameanzisha hii biashara ya juice.. Same idea, same branding same everything... And here you are, trying to do the same shit..

Tafuta idea yako Mzee baba, something different from the usual..

Well, I'll be opening a rabbit grill in town soon, fuga sungura uje kuniuzia..
Umeongea kweli mkuu..it is the problem of.bongo people kuigana igana tu hakuna mind challenging, inakera sana..matokeo yake hakuna competition ..unakuta mtaa mzima kuna duka la kuuza chupi sababu waliona aliyeanza amefanya hivyo, basi wangefanya ubunifu
 
wadau naulza hivi zipo blender au machine za kukamulia juice ya ndimu na limao na vp kuhusu package ikiwa na logo yako unayoitaka
 
Ndugu unaongelea dispenser kwa lk 200000 !!! we ulinunua wapi? tuelekeze hata mi ntanunua nyingine 3.
sababu mimi nimeshawahi nunua tatu nilitembea madukani sikuwahi pata chini ya laki 6. na ya kusagia matunda bila maji ninazo nilinunua chini ya 50 lakini sio Dar
Mkuu hapana, mm naongelea juicer nilinua syrian exhibition almost 5 yrs ago.
 
Duh!.... Asante sana ndugu yangu, kiukweli am getting luck with this. Kwahiyo, nawezapata wapi hizo kwa bei hiyo, na hiyo ya 50,000 inaitwaje? Umenitia moyo sana mkuu, nakushukuru sana. Kama una picha yake mkuu wawezaniwekea hapa nizione muonekano wake ili hata napoenda dukani inakuwa rahisi kwa sababu nitakuwa tayari nazifahamu kichwani. Shukrani nyingi
images (1).jpg
images.jpg
images (2).jpg
images (2).jpg
images.jpg
images (1).jpg
 
Wanabodi Ni Katika Kuandaa Tu Maisha Ya Watoto Baadae,naishi Dsm i Nina Plan Ya Kuanza Ujasiriamali Wa Kuuza Juice Kwenye Chupa,kijana Au Vijana Wananipelekea Kuuza Stand Au Sokoni,kama Kuna Mtu Ameshawahi Kuifanya Au Anajua Aniambie Vijana Kuwamudu Vipi Au Incentives Zipi Ili Kufikia Target Ya Mauzo Nliyowapa?Nilichowaza Mie Kila Mmoja Auze Chupa 60(afanye Trip 3 Kila Trip Chupa 20) Hawa Vijana Nina Vyumba Vya Nyuma Nawapa Kimoja,kula Nina Dada Hapa Atakuwa Anawapikia,kazi Yao Kuamka Kwenda Na Bro Wangu Kufata Matunda Sokoni Na Mmoja Wao Kunisaidia Kuteneneza Juice.
Humu Ndani Kuna Madini Mengi Nipeni Mawazo Yenu
 
Ahsante Mode Uliyonleta Hapa
 
Nina mpango wa kufanya biashara hii ya juice mwanza kuanzia mwezi wa saba nikimaliza Chuo. Location itakua stand ya mabas nyegezi, na pia nitakua nasambaza kwenye canteen za shule zilizopo karibu na nyegezi.

Naomba kama kuna MTU anafaham namna ya kupata zile package na jinsi ya kuweka logos. Haimaanishi naiga watu wengine hapana, nataka kufanya kitu ambacho nahisi katika mazingira kama ya pale stand kitaleta faida.
 
Bei ya blenda nilisikiaga eti ni Elfu 60 sijui ni kweli au nilidanganywa
 
Wadau,

Nina mtaji wa kuweza kufanya biashara ya juisi. Lakini tatizo bado sijapata mahali pazuri pa kufanyia biashara wala sijapata mfanyakazi wa kufanya naye hiyo biashara. Niko Dar es Salaam.

Mwenye uzoefu au anayejua chochote tuwasiliane hasa PM
 
Back
Top Bottom