Wise Sister
Member
- May 27, 2014
- 52
- 51
Acha kumtisha bhana, Wise Sister, unaweza kuzipata hizi na ile yenye ubora kabisa inayoweza kusaga/kukamua machungwa, matango, apple, mapeasi n.k ni kama shilingi 200,000 na ile ya kukamua machungwa, nanasi n.k ni shilingi 50,000. Hii ya elfu 50 haihitaji umeme na unaweza kuitumia mahali popote. Hizo zote unatengeneza juice bila kuchanganya na maji. Mimi ninazo nyumbani kwa matumizi binafsi lakini pia zinafaa kwa biashara. Ili kuepuka kuharibika kwa juice pale umeme unapokatika mara kwa mara, ni vyema ukahifadhi matunda kwenye friji kwani mteja akija unaweza kumkamulia juice ndani ya dakika 2 akapata kiasi anachohitaji.
Karibu.
Duh!.... Asante sana ndugu yangu, kiukweli am getting luck with this. Kwahiyo, nawezapata wapi hizo kwa bei hiyo, na hiyo ya 50,000 inaitwaje? Umenitia moyo sana mkuu, nakushukuru sana. Kama una picha yake mkuu wawezaniwekea hapa nizione muonekano wake ili hata napoenda dukani inakuwa rahisi kwa sababu nitakuwa tayari nazifahamu kichwani. Shukrani nyingi



