Helow wakuu
Poleni na majukumu
Nimekuja kwenu kuomba mnipe mawazo mbali mbali juu ya biashara ya matunda ya kukata kata
Nimeshapata eneo
Mungu akijaalia nitaanza muda si mrefu
Naomba wenye kujua zaidi je?
Ili nisipate hasara nifanyaje?
Ununuaji mpaka uuzaji na maboresho pia(uniqueness)
Namna gani niwe wa kipekee kuvutia wateja wengi na kufanya wabaki kwangu!
Naimani JF kuna wengi sana wa kunisaidia hili
Nami naombeni mawazo yenu tafadhalini kwani kwangu pekee siwezi
Pia mwenye kabati dogo la kioo(kama yale ya chips) naomba anicheki tafadhali
Sent using
Jamii Forums mobile app