Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi hebu tusaidie wapagani ni watu gani?
Basi hebu tusaidie wapagani ni watu gani?
yaani kwa wazungu siku hizi ukimuuliza una mungu ni atakuachukia sana na yamenikuta mara kadhaaKuna marafiki zangu ni wafaransa hakika hawajui kitu chochote kinachohusiana na Mungu, si biblia wala Quran huwa hawaabudu kitu chochote!!!
Kwa vyovyote unaposikia neno pagan unapata picha ya watu fulani wenye roho mbaya waabudu shetani na watu wenye Rohombaya sana.
Lakini kiasili na kiuhalisia upagani ni imani kubwa ndani ya mwamvuli wenye imani ndogo ndogo nyingi zisizoamini katika Mungu mmoja huku wakiamini katika miungu na dini za asili.
Ndani ya hizo imani kuna baadhi huchanganywa na satanism na freemason, ambapo ndani yake hufanya ibada za kafara.
😱😱😱😱😱😱
Upagani na wapagani Mshana JR.
Nasubiri jibu
KAMA NI KIRANGA NINA MASILAHI NAYE MKUU