Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unataka kusema kutokuamini mungu au dini ni suala lenye kuhitaji utajiri na wasomi?Afrika kwenye umaskini wa kutisha na elimu duni ndiyo dini imeshika kasi.
Nini maana ya kusema dini zilikuja kwa meli?Well said hizi dini zilikuja kwa meli
Watu ndiyo huchanganya watu kwa kuanzisha dini zao ambazo ndiyo matokeo yake huchanganya watu.Bora usiwe na dini unakuwa na amani ya moyo kuliko hizi dini ambazo zinashindana kila siku na kuwachanganya waumini wake hadi wanashindwa washike lipi
Kuna imani nyingi tu si kuamini mungu ndiyo peke yake ni imani. Kuna wanaosema hakuna mungu na wengine hawasemi kuwa yupo lakini hawapingi uwezokano wa kuwepo,hivyo hata hawa pia huchanganya watu.Hali inaashiria kuwa wanadamu ndio wanajaribu kumuumba Mungu na ndio maana Mungu anaelezwa tofauti na watu tofauti na kumuabudu tofauti. Leo hii mtu ataacha nyumba ya ibada hapa akafuata nyingine kule. Kama Mungu ni huyohuyo ni lazima tuseme kitu kimoja kumhusu.
Hii tofauti inachangia baadhi ya watu kukaa pembeni.
Wengine wakisema mfano Yesu ni Mungu wengine wanasema sio. wengine wanasema Maria ni mama wa Mungu wengine wanasema hapana.
Makundi ya itikadi au imani kali yanataka watu waseme kiktu kilekile kuhusu Mungu! na hapo unakuwa ni utata mtupu!
ukia hapa maana utakuta bendera zao nyingi zina misalaba halafu raia wanasema hakuna MunguKuna imani nyingi tu si kuamini mungu ndiyo peke yake ni imani. Kuna wanaosema hakuna mungu na wengine hawasemi kuwa yupo lakini hawapingi uwezokano wa kuwepo,hivyo hata hawa pia huchanganya watu.
Ujue wale dini wanafanya kama sehemu ya imani tu ambayo haiathiri sana mfumo wao wa maisha au tuseme wameingiza tamaduni zao katika dini,hivyo sioni ajabu kwa yanayotokea.wazunguw wengi wanaang
ukia hapa maana utakuta bendera zao nyingi zina misalaba halafu raia wanasema hakuna Mungu
nhahahaaaaKwa hiyo mpaka huko ulaya kuna m pesa na Tigo pesa hatari Sana, VP kuhusu Tanzania?