No 2.2 sio kweli...
Sweden na Denmark zina makanisa mengi tu na wala hayajageuzwa kuwa bar, na kanisa lao kubwa ni Lutheran japo linaitwa Swedish Church kwa Sweden na Danish Church kwa Denmark
Kifupi hizo nchi maisha yao ni kama ya kikristo tu maana hata zile sikukuu za kikanisa basi kunakuwa hakuna kazi, japokuwa wengi wa wanaoabudu ni wazee
Wabongo bhana kwahiyo kutoamini uwepo wa Mungu na kuwa na maendeleo kuna uhusiano gani,Waafrika wengi ni kama wamerogwa yaani inafika mahali tofauti yoyote inayoonekana baina yetu na White people inakuwa sababu eti ndo maana wao wako mbali,hata wafanye vyaovyo utaona wako sawa tu kisa wanatuzidi maendeleo hizi ni akili za kitoto sana, wao wanamazuri na mabaya pia hata sisi vilevile,ndo maana saivi wameleta ndoa za jinsia moja ushoga mwenye akili ndogo ataona sawa kisa kinafanywa na mzungu Plz tujitambue black people
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.