No 2.2 sio kweli...
Sweden na Denmark zina makanisa mengi tu na wala hayajageuzwa kuwa bar, na kanisa lao kubwa ni Lutheran japo linaitwa Swedish Church kwa Sweden na Danish Church kwa Denmark
Kifupi hizo nchi maisha yao ni kama ya kikristo tu maana hata zile sikukuu za kikanisa basi kunakuwa hakuna kazi, japokuwa wengi wa wanaoabudu ni wazee