Mengi hapa yalidhaniwa taboo:
1. Wapalestina kuteka na kushikilia maeneo ndani ya Israeli.
2. Israel na Marekani kufanya mazungumzo na hata kukubaliana na HAMAS.
3. Israel kuwa tayari kufanya mazungumzo kusaka mapatano na Hizbollah:
View attachment 2843590
4. Houthi kufunga njia ya bahari hadi wa magharibi kughairi:
View attachment 2843595
5. Maaskari wa vyeo vizito vizito wa Israel kufia vitani Palestina dhidi ya wana mgambo:
View attachment 2843616
6. Kufahamika uwepo wa wafungwa watoto wa kipalestina waliofungwa na mahakama za kijeshi magerezani Israel.
7. Pamoja na madhila yao Gaza na Palestina kwa ujumla hata afya za miili yao yawezekana wako vizuri kuliko hata sisi.
View attachment 2843617
(Linganisha commando wao na wetu).
8. Yawezekana Gaza wanapata umeme na maji vya uhakika vyema kuliko sisi.
9. Haipo namna ya kuwatengenisha HAMAS na wapalestina kwamba HAMAS ni Palestina na Palestina ni HAMAS:
View attachment 2843589
10. Ufumbuzi pekee wa mgogoro huu ni mazungumzo yenye hatma ya kuwa na mataifa mawili kuishi kwa amani kama majirani.
Vita field, vita siyo kwenye sinema kwa kina Rambo, Schwarzenegger na kina Chuck Norris.