Yakitokea mashindano kati ya wachawi konki na walokole konki, ni wepi watashinda?

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
Shindano liwe la wazi na lifanyike kwenye uwanja wa wazi, kina Mwamposa, Kuhani Musa, na walokole wengine konki, wakashindane na wachawi konki kama Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume na wengine.

Wachawi wamvimbishe tumbo FaizaFoxy au wamkate kichwa Lucas mwashambwa , au wampige busha THE BIG SHOW, au wamuoteshe kipara kama cha Magufuli ChawaWaMama halafu walokole wauondoe huo uchawi hawa watu warudi kwenye ukawaida wao.

Pia wachawi watuoneshe wanavyopaa halafu wakiwa angani walokole wapige maombi yao hadi nyungo za wachawi zidondoke kama zinavyodondoka kwenye mapaa ya kanisa.
 
Wachawi wamvimbishe tumbo @FaizaFoxy au wamkate kichwa @Lucas mwashambwa , au wampige busha @THE BIG SHOW, au wamuoteshe kipara kama cha Magufuli @ChawaWaMama halafu walokole wauondoe huo uchawi hawa watu warudi kwenye ukawaida wao.
Hapa ndio pana uhondo wenyewe. Hao walio orodheshwa dah... kama kuna dua mbaya watu wanaombewa vile🤣😂😅🙏
 
Shindano liwe la wazi na lifanyike kwenye uwanja wa wazi, kina Mwamposa, Kuhani Musa, na walokole wengine konki, wakashindane na wachawi konki kama Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume na wengine.

Wachawi wamvimbishe tumbo FaizaFoxy au wamkate kichwa Lucas mwashambwa , au wampige busha THE BIG SHOW, au wamuoteshe kipara kama cha Magufuli ChawaWaMama halafu walokole wauondoe huo uchawi hawa watu warudi kwenye ukawaida wao.

Pia wachawi watuoneshe wanavyopaa halafu wakiwa angani walokole wapige maombi yao hadi nyungo za wachawi zidondoke kama zinavyodondoka kwenye mapaa ya kanisa.
Ni kama sumaku, watakimbiana.
 
Mtu asbh asbh anaandika ujinga 🤣
 
Kiranja Mkuu fitofito, syukuspyaka, chundumila mkubwa. Ni Dkt Samia tu 2025!
 
Shindano liwe la wazi na lifanyike kwenye uwanja wa wazi, kina Mwamposa, Kuhani Musa, na walokole wengine konki, wakashindane na wachawi konki kama Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume na wengine.

Wachawi wamvimbishe tumbo FaizaFoxy au wamkate kichwa Lucas mwashambwa , au wampige busha THE BIG SHOW, au wamuoteshe kipara kama cha Magufuli ChawaWaMama halafu walokole wauondoe huo uchawi hawa watu warudi kwenye ukawaida wao.

Pia wachawi watuoneshe wanavyopaa halafu wakiwa angani walokole wapige maombi yao hadi nyungo za wachawi zidondoke kama zinavyodondoka kwenye mapaa ya kanisa.
Walokole watashindwa lakini watachukua ushindi kwa vigezo vya maandishi ya kwenye bible.

Kuna lile tukio (sitaji kifungu)la Yesu kujaribiwa na Shetani kwenye kilele cha mlima na kuoneshwa fahari za Ulimwengu,Shetani akamtaka Yesu amsujudie ili Shetani atoe hati miliki ya mali zote hizo kwa Yesu.

Ndipo Yesu akasema ..." kwenda zako Shetani, mwenye kuabudiwa ni Mungu pekee pia Mungu hajaribiwi"...akampiga kibuti wakaachana.

Kwahiyo watakaopigwa mabusha, kuoteshwa matumbo na vipara vipya watasota navyo kwa kuwa M/Mungu hawezi kutoa majibu ya papo kwa hapo kujidhihirisha uwezo wake kwa mwanadamu kwa ajili ya kushindanisha jambo la ubishi.

Pia uelewe kwamba, matokeo mengi ya uponyaji yafanywayo na walokole kwenye mikusanyiko ya hadhara ni acrobatik za upigaji pesa, ni usanii wa kupangwa kama ulivyo usanii mwingine.

"Kila alitajaye au alitamkaye jina la Yesu kuhadaa watu kwa manufaa yake hatauona ufalme wa mbinguni".

Habari ndiyo hiyo.
 
Hakuna kitakachotokea
Hakuna uchawi duniani
Wala hakuna mungu duniani
Sayansi ndio inaendesha dunia .
Sayansi bado inakua haijafika mwisho thus Haina uwezo wa kujibu maswali mengine
 
Huwa tunawasha taa kuliondoa giza...
 
Shindano liwe la wazi na lifanyike kwenye uwanja wa wazi, kina Mwamposa, Kuhani Musa, na walokole wengine konki, wakashindane na wachawi konki kama Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume na wengine.

Wachawi wamvimbishe tumbo FaizaFoxy au wamkate kichwa Lucas mwashambwa , au wampige busha THE BIG SHOW, au wamuoteshe kipara kama cha Magufuli ChawaWaMama halafu walokole wauondoe huo uchawi hawa watu warudi kwenye ukawaida wao.

Pia wachawi watuoneshe wanavyopaa halafu wakiwa angani walokole wapige maombi yao hadi nyungo za wachawi zidondoke kama zinavyodondoka kwenye mapaa ya kanisa.
Hakuna mlokole konki hata mmoja mmoja hapo na mashindano ya wachawi formula zake sio hizo labda useme mazingaombwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom