Kwenye biblia hilo shindano lilishafanyika wakati wa Nabii Elisha,,na kilichotokea kilikuwa wazi na kinajulikana...rejea kitabu cha mambo ya Nyakati.....Kwa hapa Dar es Salaam hawa nitakaowataja ni washirikina::-Mwamposa,,,Suguye,,,mwingira,,kakobe,,,kuhani musa..nje ya dar kuna geo davi,,,yule mama mchafu chafu wa mwanza anaejiita mungu baba na machawi mengine yaliojificha kwenye kivuli cha kanisa..Hawa wanafanana na Temitope Balogun Joshua marehemu,,,Na tukumbushane tu Kanisa la temitope lilivunjika likauwa watu 3000,,,juzijuzi kenya wamekufa 500 kwa mtume na nabii ezekieli,,kwa hapa kwetu mwamposa alishaanza kidogo kaua 10 tu lakini naamini kwamba kilichompata boko na hata mamba kitampata.....Makanisa sahihi ya kwenda hapa dar nitataja baadhi kwa yale maarufu...Mbezi Bcic,,dar es salam pentecostal church,,Kijichi kwa mitomingi,,Mafundisho ya mwakasege..Na wengine wasio maarufu ila walio wakweli na sio washirikina na watafuta pesa...