Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Jul 17, 2024 #121 Smart911 said: Wachawai siyo wanafiki wanakuburuza kweli, ila walokole ni wanafiki... Alisikika mlevi mmoja... Cc: Mahondaw Click to expand... Nakaziaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Hatari sana
Smart911 said: Wachawai siyo wanafiki wanakuburuza kweli, ila walokole ni wanafiki... Alisikika mlevi mmoja... Cc: Mahondaw Click to expand... Nakaziaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Hatari sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 17, 2024 #122 Mahondaw said: Nakaziaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Hatari sana Click to expand... Wachawi hata hawajijui kama wao ni wachawi, ila walokole ni wachawi...
Mahondaw said: Nakaziaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Hatari sana Click to expand... Wachawi hata hawajijui kama wao ni wachawi, ila walokole ni wachawi...
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Jul 17, 2024 #123 Smart911 said: Wachawi hata hawajijui kama wao ni wachawi, ila walokole ni wachawi... Click to expand... Walokole ni zaidi ya hatari lo!
Smart911 said: Wachawi hata hawajijui kama wao ni wachawi, ila walokole ni wachawi... Click to expand... Walokole ni zaidi ya hatari lo!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 17, 2024 #124 Mahondaw said: Walokole ni zaidi ya hatari lo! Click to expand... Imagine mtu kapandwa na homa ya Malaria, wanakazana kumuombea mpaka anafariki, badala ya kumpeleka hospitali...
Mahondaw said: Walokole ni zaidi ya hatari lo! Click to expand... Imagine mtu kapandwa na homa ya Malaria, wanakazana kumuombea mpaka anafariki, badala ya kumpeleka hospitali...