Yakitokea mashindano kati ya wachawi konki na walokole konki, ni wepi watashinda?

[emoji23][emoji23]
Mkuu lazima mkaangwe tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hayo ya misri niyauongo.
Huwezi ukaongea wewe kama mchawi yupo kazini[emoji1787][emoji1787].
Mimi siwezi kuongea, anayeongea ni Yesu, hata hao wachawi sio wao, bali ni shetani.

Sasa jiulize mkubwa kati ya Mungu na shetani ni nani.
 
Ajira ajira ajira ni tatizo sugu.
Zaidi ya ajira 40,000 zimeanza kutangazwa na serikali.

Kma hiyo haitoshi, wasikuwa na kazi wote waanze kuchangamkia fursa kwenye mashirika na taasisi zote zilizokuwa za Kiserikali na umma.

Sasa hivi taasisi hizo zinajiendesha zenyewe bila kutegemea serikali kuu, kutakuwa na mabadiliko ya nguvu huko kwa wale waliozowea ukiritimba wa kiserikali wengi wataachia njiani.

Wahi nafasi yako.
 
Shindano liwe la wazi na lifanyike kwenye uwanja wa wazi, kina Mwamposa, Kuhani Musa, na walokole wengine konki, wakashindane na wachawi konki kama Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume na wengine.

Wachawi wamvimbishe tumbo FaizaFoxy au wamkate kichwa Lucas mwashambwa , au wampige busha THE BIG SHOW, au wamuoteshe kipara kama cha Magufuli ChawaWaMama halafu walokole wauondoe huo uchawi hawa watu warudi kwenye ukawaida wao.

Pia wachawi watuoneshe wanavyopaa halafu wakiwa angani walokole wapige maombi yao hadi nyungo za wachawi zidondoke kama zinavyodondoka kwenye mapaa ya kanisa.

Wachawi wajitokeze hadharani kushindana walio na Yesu Kristo??👆🤣
Sahauuuuu
 
Zaidi ya ajira 40,000 zimeanza kutangazwa na serikali.

Kma hiyo haitoshi, wasikuwa na kazi wote waanze kuchangamkia fursa kwenye mashirika na taasisi zote zilizokuwa za Kiserikali na umma.

Sasa hivi taasisi hizo zinajiendesha zenyewe bila kutegemea serikali kuu, kutakuwa na mabadiliko ya nguvu huko kwa wale waliozowea ukiritimba wa kiserikali wengi wataachia njiani.

Wahi nafasi yako.
hapo ndio utapojua sura halisi ya mtanzania kama ndivyo unavyosema watavbakia kulalama anyway nimeona tangazo la ajira kama 47000.
 
Vipi kuhusu albadir mbona haijamdhuru salman rushdie miaka karibia arobaini sasa mpaka allah mmeamua kumsaidia kwa visu?
 
hapo ndio utapojua sura halisi ya mtanzania kama ndivyo unavyosema watavbakia kulalama anyway nimeona tangazo la ajira kama 47000.
Mbali ya ajira hizo, kuna ajira za sekta ya kilimo, ufugaji wa wanyama na samaki.

Mama kafunguwa kweli kweli, hivi napandisha uzi wa bandari mpya kabisa, mama anaweka historia.
 
safi sana napenda vitu kama hizi watu walikaa kama wana hangover vile sasa tushindwe wenyewe, leta habari hio dada mkubwa.
 
Shindano liwe la wazi na lifanyike kwenye uwanja wa wazi, kina Mwamposa, Kuhani Musa, na walokole wengine konki, wakashindane na wachawi konki kama Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume na wengine.

Wachawi wamvimbishe tumbo FaizaFoxy au wamkate kichwa Lucas mwashambwa , au wampige busha THE BIG SHOW, au wamuoteshe kipara kama cha Magufuli ChawaWaMama halafu walokole wauondoe huo uchawi hawa watu warudi kwenye ukawaida wao.

Pia wachawi watuoneshe wanavyopaa halafu wakiwa angani walokole wapige maombi yao hadi nyungo za wachawi zidondoke kama zinavyodondoka kwenye mapaa ya kanisa.
Msijaribu Mungu kwa vitu vya hovyo kama hivyo pumbavu
 
Endelea kujidanganya. Kwahiyo uimbajibwa wanadamu na viumbe vingine na vitu vyote vilifanyika maabara? Ukiendelea na akili hii utaishia pabaya ndg.
Sasa nawee ndo ueleze huo uumbaji wa wanadamu na viumbe wengine ambao haukufanyika maabara, sio kutisha watu lol
 
Hakuna kitakachotokea
Hakuna uchawi duniani
Wala hakuna mungu duniani
Sayansi ndio inaendesha dunia .
Sayansi ndiyo iliyokuumba au? Sayansi ndiyo iliumba vyote vinavyoonekana na visivyoonekana au? Laana zingine mnajitakia bure tu!!
 
Back
Top Bottom