Hii post imeniliza. Najaribu kutafakari kinachogombewa sikioni. Kama mtu anaongea hoja tuu,unakimbia kuchukua mabunduki na marungu kumvunja miguu, je angebeba hata manati au jiwe,siyo ungebeba vifaru na mizinga? Hoja ijibiwe kwa hoja,full stop.Yakitokea yale ya Magufuli tusije kusema alikuwa mtu wa haki kinafiki. Maana yatatokea mtakuja hapa na kusema alikuwa mtu wa haki sijui nini wakati Polisi wanavunja miguu watu wakienda mahakamani kutafuta haki! stay tuned Mungu achezewi anakupa nafasi ukiipata itumie kwa mazuri akija kuiondoa tusije kujilaumu tuendelee kujigamba gamba hivi hivi
Yatokee tu jamani!Yakitokea yale ya Magufuli tusije kusema alikuwa mtu wa haki kinafiki. Maana yatatokea mtakuja hapa na kusema alikuwa mtu wa haki sijui nini wakati Polisi wanavunja miguu watu wakienda mahakamani kutafuta haki! stay tuned Mungu achezewi anakupa nafasi ukiipata itumie kwa mazuri akija kuiondoa tusije kujilaumu tuendelee kujigamba gamba hivi hivi
Itapendeza zaidiYatokee tu jamani!
Na ndivyo itakavyokuaYakitokea yale ya Magufuli tusije kusema alikuwa mtu wa haki kinafiki. Maana yatatokea mtakuja hapa na kusema alikuwa mtu wa haki sijui nini wakati Polisi wanavunja miguu watu wakienda mahakamani kutafuta haki! stay tuned Mungu achezewi anakupa nafasi ukiipata itumie kwa mazuri akija kuiondoa tusije kujilaumu tuendelee kujigamba gamba hivi hivi
Yatatokea tu ,ni suala la mudaYatokee tu jamani!
SoonAsipobadilika hakika yatatokea.