Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Baada ya ndugu zetu uto kufanikiwa kushinda ubingwa wa medali na kisha kualikwa chakula cha jioni na Rais Samia.
Makelele yalikuwa mengi ohhhhh tumealikwa na mama sisi ndio timu ya taifa mablabla mengi.
Baada ya kula ubwabwa na kupongezana kwa sana, sherehe ikaharibika mwishoni kabisa.
Nendeni mkalitizame hili suala la huyu kijana (Fei) hapa kila mwana uto akaanza kuguna huyu mama vipi tena?😁😁😁
Safari za ndege kwenda na kurudi bure, mualiko Ikulu bure, pilau bure, Ic ikulu bure, muziki ikulu bure, malipo yake ndio fei sasa kaeni kwa kutulia 😆😆😆😆😆.