Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Mama kashasema mkalitizame haraka mumpe mrejesho ndani ya siku tatu ( kiutu uzima)Kwani shida ya Fei Jinga ina gharama gani kuitimiza? Inaua tu heshima kwenye Mikataba, ila Fei Jinga hana thaman yeyote ile.
Wala usihofu yanfa itasimia kanuni kwenye suluhu,auzwe,alipe fidia au arudi yangaKwani shida ya Fei Jinga ina gharama gani kuitimiza? Inaua tu heshima kwenye Mikataba, ila Fei Jinga hana thaman yeyote ile.
Mama kashasema mkalitizame haraka mumpe mrejesho ndani ya siku tatu ( kiutu uzima)
Si alitoa fidia ya kuvunja mkataba mkaikataa, sasa anarudi na pesa hiyo hiyo ya kuvunja mkataba na Hersi atamwachia ki ulaini kabisa.wala usihofu yanfa itasimia kanuni kwenye suluhu,auzwe,alipe fidia au arudi yanga
The thing ni kwamba hatuwezi mpa masharti magumu, kwa hiyo iwe isiwe sisi tupo kwenye mazingira ya kupokea hela (ingawa kidogo) na hatuna hasara.
Kwa akili yako wee kolo unadhani Yanga walikuwa na mpango wa kuendelea na Fei?Yanga walitaka utaratibu ifuatwe tu....unadhani ingekuwaje kama viongozi wangeamua kuachana nae kiholela nyie makolo si mngesema timu inaendeshwa kisela na wachezaji hawana mikataba?tuliza akili kolo...ule ulikuwa mpango maalum kolo Ili dogo aachwe Ili makolo na mashabiki maandazi muone ni agizo la Rais na sio matakwa ya viongozi wa Yanga......!Baada ya ndugu zetu uto kufanikiwa kushinda ubingwa wa medali na kisha kualikwa chakula cha jioni na Rais Samia.
Makelele yalikuwa mengi ohhhhh tumealikwa na mama sisi ndio timu ya taifa mablabla mengi.
Baada ya kula ubwabwa na kupongezana kwa sana, sherehe ikaharibika mwishoni kabisa.
Nendeni mkalitizame hili suala la huyu kijana( fei) hapa kila mwana uto akaanza kuguna huyu mama vipi tena?[emoji16][emoji16][emoji16]
Safari za ndege kwenda na kurudi bure, mualiko ikulu bure, pilau bure, Ic ikulu bure, muziki ikulu bure, malipo yake ndio fei sasa kaeni kwa kutulia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
Kwa halmashauri ya akili yako fei ana thamani ya milioni 100? Icho unachokitegemea wewe na wenzako akitokaa kitokee, fei thamani yake sio chini ya 350milioni, kwa maana iyo yeye fei ndiye anatakiwa alimalize kwa kwenda kutajiwa dau lake alipe asepe zake na sio vinginevyoSi alitoa fidia ya kuvunja mkataba mkaikataa, sasa anarudi na pesa hiyo hiyo ya kuvunja mkataba na Hersi atamwachia ki ulaini kabisa.
Kumbuka kuna remote control ya Hersi ambayo ni Ghalib,yeye anahitaji kuwa karibu na mamlaka za juu za Nchi.
Trust me Fei ataondoka kwa kuvunja mkataba kwa pesa hiyo hiyo mliyoikataa mwanzoni.
Ghalib na Hersi wanajua uzito wa "ombi la Rais wa JMT".
Acha hiyo ndugu.Some kind of segregation.Si nzuri hata kama anaudhi.Bounderies!Kinachokera ni Bernad Morrison kuingia ikulu ya Tanzania.
Hovyo kabisa, Sijui washauri wa Raisi ni akina Nani
Hakunaga cha bure...Fei mzanzibari yuleMama kaupiga mwingiπ€£π€£π€£π€£ aise kweli hamnancha bure hapa duniani
Leo tena...kutoka zanzibar finest mpaka fei jinga...kweli yanga ni utopolo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani shida ya Fei Jinga ina gharama gani kuitimiza? Inaua tu heshima kwenye Mikataba, ila Fei Jinga hana thaman yeyote ile.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kinachokera ni Bernad Morrison kuingia ikulu ya Tanzania.
Hovyo kabisa, Sijui washauri wa Raisi ni akina Nani
Dogo hafanyi chochote hapo na anaondoka.Wala usihofu yanfa itasimia kanuni kwenye suluhu,auzwe,alipe fidia au arudi yanga
Hii ni option ya 4 iliyotakiwa isemwe mapema siyo zile tatu za aje aongezewe maslahi, aje amalizie mkataba, club inayomtaka ije.Kwa halmashauri ya akili yako fei ana thamani ya milioni 100? Icho unachokitegemea wewe na wenzako akitokaa kitokee, fei thamani yake sio chini ya 350milioni, kwa maana iyo yeye fei ndiye anatakiwa alimalize kwa kwenda kutajiwa dau lake alipe asepe zake na sio vinginevyo
Nimeona sana unaandika mil.350...unaijua kwanza hio hela?? Usawahi kuishika?Kwa halmashauri ya akili yako fei ana thamani ya milioni 100? Icho unachokitegemea wewe na wenzako akitokaa kitokee, fei thamani yake sio chini ya 350milioni, kwa maana iyo yeye fei ndiye anatakiwa alimalize kwa kwenda kutajiwa dau lake alipe asepe zake na sio vinginevyo
Umeimaliza mkuu...ombi la rais ni Amri..utopolo ubwabwa wanauona mchunguππSi alitoa fidia ya kuvunja mkataba mkaikataa, sasa anarudi na pesa hiyo hiyo ya kuvunja mkataba na Hersi atamwachia ki ulaini kabisa.
Kumbuka kuna remote control ya Hersi ambayo ni Ghalib,yeye anahitaji kuwa karibu na mamlaka za juu za Nchi.
Trust me Fei ataondoka kwa kuvunja mkataba kwa pesa hiyo hiyo mliyoikataa mwanzoni.
Ghalib na Hersi wanajua uzito wa "ombi la Rais wa JMT".