Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama kwenye mada yangu nimesema tubweteke au ugonjwa wa COVID-19 haupo kabisa!Tusibweteke, ugonjwa wa COVID19 bado upo.
Una point juu ya Covid19 na nchi kukataa ushoga, lakini mengine ni mawazo yako yasiyo na tija.Nani alikataa kuwa hauko? Rais JPM ameliweka wazi tutaishi nao kama magonjwa mengine mfano mafua, malaria, nk. Wale walio uzindua ugonjwa huu walitumia mbinu ýa kuingiza dunia nzima katika hofu...
Ninakubaliana na maoni yako!Mungu ni mwema sana katika nchi yetu ya Tz.
Ametenda na atazidi kutenda hata kwa yale ambayo hatujui.
Nakubaliana na angalizo lako.Mungu anazidi kutupigania
We unasema marekani, mbona humsemi kigogo aliyefia kutangaza vifo vya ajali za gari ni corona, mpaka kaikimbia akaunti yake kaja na nyingine siku hizi.Kwa mtu anayechanganua masuala kwa undani utagundua kuwa matamko ya Ubalozi wa Marekani kuhusu kile walichokuwa wanakiita ''Hali mbaya ya maambukizo nchini'' kimepotea baada ya tamko lao la mwisho la mwezi Mei 2020..
Nashukuru kwa kunijulisha mengine ambayo sikuyajua!We unasema marekani, mbona humsemi kigogo aliyefia kutangaza vifo vya ajali za gari ni corona, mpaka kaikimbia akaunti yake kaja na nyingine siku hizi.
Marekani ilikuja kugundua yule balozi mwanamke ni mliberali, wakamfurusha, balozi m republic alipokuja, kasafisha kabisa kuwa Tanzania ni salama na yeye aliingia ikulu bila barakoa
Lakini yeye havai barakoa ingawaje anakutana na umati wa watu wasiofaa barakoa 🙂Afsa wake mwandamizi mkuu yupo kwenye ziara mikoani kutafuta wadhamini ila kila akipata muda wa kuongea na media za kenya anasisitiza korona inaua na watu wanazikwa usiku!
Alishajinasibisha ye ni mkenya kabisa. So ni balozi kivuli wa kenya tanzania anayepambania urais wa tanzania.Huyo ni mwanaharakati!
Kama unavyojua wanaharakati ni wazuri sana katika kudandia na kushadadia masuala mbali mbali na wepesi wa kusahau kile walichokuwa wanakishadadia!
Sasa wakimuona katikati ya watu akiwa hajavaa chochotr si anawapa wakati mguu jamaa zake?Mpiga zumari wao wa Corona Lissu kasahau kazi aliyotumwa ya kueneza uongo na uvumi kuhusu corona anatafuta wadhamini nchi nzima akiwa havai hata hiyo barakoa. USA, Lissu na WHO wameaibika sana kuhusu corona Tanzania.
Haikuwepo ila tuliahidi kuwalinda watanzania . Na tumetekeleza ikiwemo kwenye corona.Vile MATAGA wanavyisifu na kuabudu unaweza dhani COVID-19 ilikiwepo kwenye ilani yao ya 2015-2020.
Hapana anangoja ahojiwe na vituo vya kenya ndio anasema hivyo ili kuwafurahisha.Kwa anayoyafanya kwa sasa huwezi kumsikia tena akisema kuna vifo vingi nchini vinavyosababishwa na Corona na watu wanazikwa usiku!
Huo unaofanyika ni usanii wa kisiasa!Lakini yeye havai barakoa ingawaje anakutana na umati wa watu wasiofaa barakoa 🙂
Wanasiasa wa Kenya wanamtumia tu ili kuonyesha wananchi wao kuwa njia waliyoitumia ni bora kuliko iliyotumiwa na serikali ya Tanzania!Alishajinasibisha ye ni mkenya kabisa. So ni balozi kivuli wa kenya tanzania anayepambania urais wa tanzania.
Hawezi kuendelea kupambana na ukweli!Sasa wakimuona katikati ya watu akiwa hajavaa chochotr si anawapa wakati mguu jamaa zake?
Huyo jamaa hajui kuwa kazi ya msingi kwa Rais ni ulinzi wa raia na mali za nchi!Haikuwepo ila tuliahidi kuwalinda watanzania . Na tumetekeleza ikiwemo kwenye corona.