Yaleyale yaliyojitokeza kwa Alikiba, Darassa, Aslay, Mavoko, n.k, ndiyo yanataka kujitokeza kwa Harmonize.

hawezi kukujibu

ni mtoto bado!

dunia isingekuwa hivi kama watu fulani hawaondoki mahali kuanzisha vyao

steve jobs asingeleta iphone
 
Huyo dogo nilikua namkubali sana lakin baada ya kuimba nyimbo kuhusu magufuli sitaki hata kumskia na nyimbo zote kwenye flash zinazomhusu nimezifuta na sasa namuombea mikosi kama nilivyoomba kwa mzee wa upako saivi amebakia kichwa tu ajifie.
Hahahaa
 
nnachoamini WCB ndiyo ilyomrudisha rich kwenye raman ya mziki alikuwa ashapotea kitambo mpaka kuwa chini ya king kaka
 
Mimi nadhani kati ya makosa makubwa aliyofanya ni hili la kujishikamanisha na siasa. Amepata sifa za upande mmoja kwa muda mfupi hadi jana akapata air coverage TBC. Lakini matokeo ya usanii huo atayaona baada ya muda si mrefu.
Hehe..Diamond hakufanya hayo? hamkutukana kama mnavyotukana leo? mziki wake hamuusikilizi? mnadhani hao wasanii ni misukule hawana mengine nje ya music? upuuzi..
 
Mimi nadhani kati ya makosa makubwa aliyofanya ni hili la kujishikamanisha na siasa. Amepata sifa za upande mmoja kwa muda mfupi hadi jana akapata air coverage TBC. Lakini matokeo ya usanii huo atayaona baada ya muda si mrefu.
Mbona diamond mwaka flani aliipigia kampeni ccm lakini bado anatamba.
 
Kuondoka WCB sio tatizo..ila isiwe kwa maneno na kuvimbishwa kichwa na mashabiki...yani aondoke for good,labda wamekaa na uongozi halafu wakamwambia bwana harmonize tumeshakubeba vya kutosha na sasa umekuwa..ni time now uwapishe wengine tuwashike mkono na wewe pia kaanzishe kitu chako uwavute na wengine....kwa mnasaba huu itakuwa haina shida na upendo,heshima na support baina yao itaendelea kuwepo. Ila akijichanganya kwa kuanza kumvimbia Diamondplatnumz na kuanza kujiona yeye ndo big,nazani wataenda kukaa kijiwe kimoja na rich mavoko wapige kahawa...!
 
Mzee inaonekana unajua mziki yaani umemaliza kila kitu.
 
Mimi nadhani kati ya makosa makubwa aliyofanya ni hili la kujishikamanisha na siasa. Amepata sifa za upande mmoja kwa muda mfupi hadi jana akapata air coverage TBC. Lakini matokeo ya usanii huo atayaona baada ya muda si mrefu.
Sijui amekwama wapi dogo, ameshawagawa mashabiki zake, so sad.
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mimi nadhani kati ya makosa makubwa aliyofanya ni hili la kujishikamanisha na siasa. Amepata sifa za upande mmoja kwa muda mfupi hadi jana akapata air coverage TBC. Lakini matokeo ya usanii huo atayaona baada ya muda si mrefu.
dogo amejiua mwenyewe hpo kwa kuonyesha yuko upande usiopendwa
 
Umeongea sana
Ila naomba nikusahihishe kwa Mavoco

Mavoco ni mtu anayeamini katika jasho lake sio mtu wa shortcut kama wengine

Mavoco kutoka pale nikwamba hakuweza kuabudu upande wapili.

Shida mnaujua mziki kwa kuangalia nyimbo za wasanii ila hamjui who is behind there back.

Usilolijua[emoji451][emoji89][emoji451][emoji89][emoji451][emoji89]
 
Now karudi kuabudu upande w kwanza siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…