Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Kwahiyo mkuu, kama mtu amekushika mkono ndo aendelee kukushika mapema? ingekuwa na vema aondoke ili wengine wainuliwe. Maisha kusaidiana. Kama anaweza kusimama kwa miguu yake yampasa atembee.
Najitahidi kutafuta mfanano wa mifano yako kwa konde boy na hao wengine, ila sipati.
Halafu watu hutofautiana. Wanavyopotea wengine sio lazima na wengine wapotee.
hawezi kukujibu
ni mtoto bado!
dunia isingekuwa hivi kama watu fulani hawaondoki mahali kuanzisha vyao
steve jobs asingeleta iphone