Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Wasome vizuri mitandaoni na hata hapa JF.Hii sio sawa, mashabiki wa Simba katika hili wameonesha umoja wa kitaifa kwa kulaani dhulma ya waziwazi tuliyofanyiwa Yanga dhidi ya Mamelody.
Tusiwadhihaki kwa matokeo yao, wamekuwa waungwana nasi tuwe waungwana.
Na nyie pia ipo siku yatawakuta.Uto imewauma sana hii..tulieni dawa iwaingie..
Huo umoja dada umeona wapi? Wakati wamekiri wazi kabisa kuwa wamefurahia sana maamuzi ya waamuzi maana wangepigiwa kelele hivyo wamefurahi kufanana. Kuna wengine wamekiri ni goli ila wamefurahia maamuzi ya refa. Halafu kuna wengine hawataki kukubali ili tu ionekane Yanga wamestahili kutolewa kihalali kabisa.Hii sio sawa, mashabiki wa Simba katika hili wameonesha umoja wa kitaifa kwa kulaani dhulma ya waziwazi tuliyofanyiwa Yanga dhidi ya Mamelody.
Tusiwadhihaki kwa matokeo yao, wamekuwa waungwana nasi tuwe waungwana.
Du kweli kufa kiume kunauma na imeisha hiyo!,yaani Mwakarobo Jnr bado mnalalama angalieni msije pata ukichaa,wenzenu wazoefu hatupigi kelele kama ni kufa Kwa hatua ya matuta kwetu siyo geni tulitolewa na Bingwa mtetezi Wydad tena Kwa kumfunga Nyumbani kwetu siye nyie Semi-Finalist Mamelodi hamjaokota goli hata moja kazi mkadhani robo fainali ni kuchezewa robo uwanja na Mamelodi katika mechi zote mbili mkiwa na possession ya below 30% na accurate passes chini ya 100 halafu sijui Kwa uchezaji huo mnapata wapi uhalali legitimacy ya kulilia kupelekwa nusu Fainali kimazabe Kwa goli FekiHabari ndio hio. Zile kelele kwamba mlikuwa mnacheza kombe la loser sasa hazipo na` zile kelele Yanga kimataifa hawawezi nazo hazipo. Yaani kwa miaka miwiliu wamefilisika kabisa kihoja.
Sasa wamejificha kwenye dhuluma waliofanyiwa Yanga huku wao wametiaa aibu kufungwa home and away.
Ni hawa hawa baada ya droo ndio waliona kama wameshafuzu huku wakidai wanawamudu AL A hyl kumbe aibu tupu.
Yanga hii wangekuwepo Pacome , Aucho , Yao mamelodi wangepigwa nje ndani esperance wangepigwa fainali ingekuja hivihivi mbele ya macho yetu na ukizingatia Al ahly alipata shida kumfunga yanga ikiwa kamili Mpaka wakamuumiza kiungo mkabaji Aucho ingekuwa fainali ya yoyote kushinda .
Tulishakutana na makubwa zaidiNa nyie pia ipo siku yatawakuta.
Labda hapo ulipo ndo umezungukwa na wastarabu siyo huku kwingine rafiki yangu.Watu walishangilia goli letu kukataliwa.Hii sio sawa, mashabiki wa Simba katika hili wameonesha umoja wa kitaifa kwa kulaani dhulma ya waziwazi tuliyofanyiwa Yanga dhidi ya Mamelody.
Tusiwadhihaki kwa matokeo yao, wamekuwa waungwana nasi tuwe waungwana.
Don't take it serious, nayo hii ni katika utani wetu wa jadi, lakini message sent and delivered.Hii sio sawa, mashabiki wa Simba katika hili wameonesha umoja wa kitaifa kwa kulaani dhulma ya waziwazi tuliyofanyiwa Yanga dhidi ya Mamelody.
Tusiwadhihaki kwa matokeo yao, wamekuwa waungwana nasi tuwe waungwana.
Mulisema hivyo hivyo kuwa yanga atatamba tu Kwenye kombe munaita la looser bila kukumbuka simba alishindwa vibaya ku perform , amekuja kwa mabingwa akapambana na mabingwa wenzake kina cr belouzidad , medeama , Al ahly na mamelodi na kazi ilifanyika .NDOTO ZA ALNACHA!
Acha roho mbaya😎Habari ndio hio. Zile kelele kwamba mlikuwa mnacheza kombe la loser sasa hazipo na` zile kelele Yanga kimataifa hawawezi nazo hazipo. Yaani kwa miaka miwiliu wamefilisika kabisa kihoja.
Sasa wamejificha kwenye dhuluma waliofanyiwa Yanga huku wao wametiaa aibu kufungwa home and away.
Ni hawa hawa baada ya droo ndio waliona kama wameshafuzu huku wakidai wanawamudu AL A hyl kumbe aibu tupu.
AaahaaaaHabari ndio hio. Zile kelele kwamba mlikuwa mnacheza kombe la loser sasa hazipo na` zile kelele Yanga kimataifa hawawezi nazo hazipo. Yaani kwa miaka miwiliu wamefilisika kabisa kihoja.
Sasa wamejificha kwenye dhuluma waliofanyiwa Yanga huku wao wametiaa aibu kufungwa home and away.
Ni hawa hawa baada ya droo ndio waliona kama wameshafuzu huku wakidai wanawamudu AL A hyl kumbe aibu tupu.
Hawana akili.Aaahaaaa
Wanakwambia bora tumetoka wote