Yalikuwa yanajisifu ni ya kimataifa. Yamepigwa ndani nje sasa yamejificha kwenye dhuluma waliiofanyiwa Yanga

Tulisha waambia vichaka vyote walivyo jifucha tuta uchoma moto na bila upuuzi wa VAR crews awa mbumbumbu kwasasa wangekua hoi.
Ninacho waonea huruma ni kwenye mechi ya marudiano dhidi ya Yanga, Kuna kitu kibaya kinakwenda kutokea.
 
Hii sio sawa, mashabiki wa Simba katika hili wameonesha umoja wa kitaifa kwa kulaani dhulma ya waziwazi tuliyofanyiwa Yanga dhidi ya Mamelody.

Tusiwadhihaki kwa matokeo yao, wamekuwa waungwana nasi tuwe waungwana.
Kunywa togwa kwa mama mkude bill ni kwangu bora hata umeona ww
 
Pumbavu ,mnajaza servers Tu humu kwa mada zenu za kipumbavu na ushabiki maandazi wa timu zenu za misukule hizo simba na yanga

Mnashinda kujadili mambo ya muhimu yanayogusa nchi na maisha ya watu ,mnakesha kuzungumzia mavi

Ndio maana ccm inaendelea kutawala taifa la misukule na wapumbavu hili miaka na miaka .
Vichwa vikubwa akili kamasi .

Stupid kabisa
 
Wanaume wazima mmelala toka juzi mnashindwa kupeleka mioto kwa wake zenu kwa stress mnawaza tuu mmekataliwa goli mara sijui nini..mnataka simba ifanyeje si mmetaka wenyewe habari yenu iwe trending wacha tuwatrendishe...
Sio shida zetu kupigwa ndani nje..sisi na nyie mnatofauti gani? Mmeshinda mechi ipi??
 
Mm ni mshabiki wa IHEFU lile goli la 5 tulilofungwa na Yanga halikuvuka mstari the ball didn't cross the line that is to say It's not over until it's over.
 
Funga domo we mke wa mbowe [emoji23]
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Hii sio sawa, mashabiki wa Simba katika hili wameonesha umoja wa kitaifa kwa kulaani dhulma ya waziwazi tuliyofanyiwa Yanga dhidi ya Mamelody.

Tusiwadhihaki kwa matokeo yao, wamekuwa waungwana nasi tuwe waungwana.
Umemsikia Ahmed Ally leo airport??
 
Bloangu mbona lile goli walilokataliwa Kagera Suger na liliingia huku refa akalikataa mkapewa nyie kona?

Mbona timu werevu Kagera hawakuandika barua TFF.

Tulieni dawaa iingie msifurahie matokeo yanayowafurahisha nyie tu,kemeeni vitendo viovu wakati wote
 
Alafu mleta mada.mchawi wetu huyu hapa.
 
Attachments

  • Screenshot_20240405_232604_Gallery.jpg
    75.4 KB · Views: 2
Refa anasema yeye hana kosa mwenye swali awaulize VAR operators. Malipo ni hapa hapa duniani kudadadadeq
 
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa ndo unaliaa? Futa machozi bhana.
 
Tulisha waambia vichaka vyote walivyo jifucha tuta uchoma moto na bila upuuzi wa VAR crews awa mbumbumbu kwasasa wangekua hoi.
Ninacho waonea huruma ni kwenye mechi ya marudiano dhidi ya Yanga, Kuna kitu kibaya kinakwenda kutokea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee wee,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa wamevurugwaaaa balaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…