Mweeh... BTW msalimie mlokoleMiaka ile mawasiliano makubwa yalikuwa barua, baada ya shule labda mchaguliwa wote chuo kimoja. Ilitokea mmoja wetu alikwenda nje ya nchi, basi mawasiliano yaliishia pale.
Haya Nikirudi kutoka kazini nitakununulia na kukuletea... au na wewe bado unataka hela ya kalamu tu na sio kalamuFocus yangu ni kuwa presentable mbele ya handsome boy, ule utamu ninaukumbuka mpaka leo, bado ninajutia mihogo yangu.
Si Umesema hutaki kusahahu utamu wa Mihogo... Mdau nimejitolea kukununulia MingineYamekuwa hayo tena.
ur wlcmShukran mkuu.
Usichana kazi kwelikweli
Hehe muhongoMbona mpaka leo.
Kama ni kweli mpaka leo Basi wewe ni mgumba mtarajiwa, halafu wakupime siyo mzima.Mbona mpaka leo.
kitaota kutuMbona mpaka leo.
Hii imenichekesha sanaFocus yangu ni kuwa presentable mbele ya handsome boy, ule utamu ninaukumbuka mpaka leo, bado ninajutia mihogo yangu.
Mazingira niliyokulia yaliruhusu kutokuwa mwoga, nimechunga sana ng'ombe, kwahiyo kula barabarani ilikuwa kawaida.Ulipitia huko mkuu?
Mkwe shikamoooDuuuh hivi kula mihogo ni dhambi? Daah maisha ya watu wengine ni magumu sana
Niambie mkwe uko poa? My douta yuko wapi siku nyingi sijamuonaMkwe shikamooo