Yalinikuta

Yalinikuta

Miaka ile mawasiliano makubwa yalikuwa barua, baada ya shule labda mchaguliwa wote chuo kimoja. Ilitokea mmoja wetu alikwenda nje ya nchi, basi mawasiliano yaliishia pale.
Mweeh... BTW msalimie mlokole
 
Focus yangu ni kuwa presentable mbele ya handsome boy, ule utamu ninaukumbuka mpaka leo, bado ninajutia mihogo yangu.
Haya Nikirudi kutoka kazini nitakununulia na kukuletea... au na wewe bado unataka hela ya kalamu tu na sio kalamu
 
Mimi nshawahi kumpenda Demu mpaka nikachora jina lake kwa kisoda kwenye gari ya ofisi.
 
Amaizing story kwakweli , Sasa Sky Eclat ,baada ya hapo ulirudia kula mihogo kwenye gari?
 
Amaizing story kwakweli , Sasa Sky Eclat ,baada ya hapo ulirudia kula mihogo kwenye gari?
Haha, sikuhizi ninakula mbele yao, those were the days you think dudes are different creatures😛😛
 
Duuuh hivi kula mihogo ni dhambi? Daah maisha ya watu wengine ni magumu sana
 
Back
Top Bottom