Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Mweeh... BTW msalimie mlokoleMiaka ile mawasiliano makubwa yalikuwa barua, baada ya shule labda mchaguliwa wote chuo kimoja. Ilitokea mmoja wetu alikwenda nje ya nchi, basi mawasiliano yaliishia pale.