Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usichana kazi kwelikweliHe hee yani unajikuta una hisia kwamtu ila yeye wala hana habari,na kumwambia huwezi basi unapambana na hisia zako ndani kwa ndani....
Alishapata namba yangu na tulikuwa tunapigiana simu, ila nilitaka kuwa miss perfect mbele yake.He hee yani unajikuta una hisia kwamtu ila yeye wala hana habari,na kumwambia huwezi basi unapambana na hisia zako ndani kwa ndani....
Sasa bora wewe ulifanikiwa mawasiliano,so hisia bado zipo kwake?Alishapata namba yangu na tulikuwa tunapigiana simu, ila nilitaka kuwa miss perfect mbele yake.
Huyu sijui yuko wapi lakini nilisika alioa ana familia siku hizi. Yeye pia alikua mwanafunzi, tulikuwa tunapanda wote matreni kwenda mikoa ya kaskazini.Sasa bora wewe ulifanikiwa mawasiliano,so hisia bado zipo kwake?
Yuko ndugu yangu alikutana na jamaa hosp kila mmoja alienda kumchek mgonjwa wake. Wakasalimiana bt jamaa akawa hana issue zaidi kwa bibie,ila bibie alichachawa mpaka tukawa na kazi ya kusikiliza story yake kila mna ni jamani yule kaka ni mzuri,yuko hivi na hivi he hee ila tulikoma
Alikustukia lakini?Huyu sijui yuko wapi lakini nilisika alioa ana familia siku hizi. Yeye pia alikua mwanafunzi, tulikuwa tunapanda wote matreni kwenda mikoa ya kaskazini.
Unataka utongozewe kwenya bajaj au?mmmh me sipendi kutongozwa kwenye daladala
ningekula tu.
Haaa basi ulifaudu...Ah acha tu, for some reasons nilikuwa ninakatiwa first class au second sleeping kwenda shule, basi usiku mzima unaishia kwenye corridor na mkaka, chumbani nilikua ninaacha begi tu.
What happened? Au mawasiliano yalipotea?Yah mnaongea kupanga maisha yatakavyokuwa, kumbe hamatakuja kuonana tena huko mbele.
What happened? Au mawasiliano yalipotea?Yah mnaongea kupanga maisha yatakavyokuwa, kumbe hamatakuja kuonana tena huko mbele.