Yalinikuta

Yalinikuta

endelea sasa usiishie mwisho baadae ikawaje? ulimpa papuch
 
hahahaa ulishindwa kuweka mahali.....aisee navyopenda kula nisingeweza kutupa ........

NB.
sasa huyo jamaa mliishia wapi?
 
He hee yani unajikuta una hisia kwamtu ila yeye wala hana habari,na kumwambia huwezi basi unapambana na hisia zako ndani kwa ndani....
Alishapata namba yangu na tulikuwa tunapigiana simu, ila nilitaka kuwa miss perfect mbele yake.
 
Alishapata namba yangu na tulikuwa tunapigiana simu, ila nilitaka kuwa miss perfect mbele yake.
Sasa bora wewe ulifanikiwa mawasiliano,so hisia bado zipo kwake?

Yuko ndugu yangu alikutana na jamaa hosp kila mmoja alienda kumchek mgonjwa wake. Wakasalimiana bt jamaa akawa hana issue zaidi kwa bibie,ila bibie alichachawa mpaka tukawa na kazi ya kusikiliza story yake kila mda ni jamani yule kaka ni mzuri,yuko hivi na hivi he hee ila tulikoma
 
Sasa bora wewe ulifanikiwa mawasiliano,so hisia bado zipo kwake?

Yuko ndugu yangu alikutana na jamaa hosp kila mmoja alienda kumchek mgonjwa wake. Wakasalimiana bt jamaa akawa hana issue zaidi kwa bibie,ila bibie alichachawa mpaka tukawa na kazi ya kusikiliza story yake kila mna ni jamani yule kaka ni mzuri,yuko hivi na hivi he hee ila tulikoma
Huyu sijui yuko wapi lakini nilisika alioa ana familia siku hizi. Yeye pia alikua mwanafunzi, tulikuwa tunapanda wote matreni kwenda mikoa ya kaskazini.
 
Alikustukia lakini?
Ah acha tu, for some reasons nilikuwa ninakatiwa first class au second sleeping kwenda shule, basi usiku mzima unaishia kwenye corridor na mkaka, chumbani nilikua ninaacha begi tu.
 
Ah acha tu, for some reasons nilikuwa ninakatiwa first class au second sleeping kwenda shule, basi usiku mzima unaishia kwenye corridor na mkaka, chumbani nilikua ninaacha begi tu.
Haaa basi ulifaudu...
 
What happened? Au mawasiliano yalipotea?
Miaka ile mawasiliano makubwa yalikuwa barua, baada ya shule labda mchaguliwa wote chuo kimoja. Ilitokea mmoja wetu alikwenda nje ya nchi, basi mawasiliano yaliishia pale.
 
Back
Top Bottom