Wadau, tusameheane kidogo maana kuna tatizo la network kwa muda huu huku Dom. Sijui mkuu Skype kama pia unakumbana na tatizo hilo
Mkuu, kwai anakuwaje? Huwa namuona anasimama kwa adabu sana wakati wa dua
Pamoja sana mkuu. Pale abungeni ipo wi-fi ila ina password. Nadhani pia hali ya mawingu inachangia. Maana Dodoma kwa sasa kuna mawingu na leo tumepata mvua majira ya saa nne asubuhiduh! na huku Dar (TANESCO) umeme umekati kwa sababu ya mvua kubwa iliyokuwa inanyesha!
"nadhani kuna umuhimu wa kuwa na simcard za mitandao yote, au uongozi wa Bunge ufanye mipango ya kufanya instalation ya Wi-fi"
Yap! Dogo zito anaonekana kuwa mwenye furaha kweli.Pamoja sana mkuu. Namuona pia mheshimiwa Zitto Zuneir Kabwe
Sasa Ole Sendeka anateta jambo na Kingunge Ngombale Mwiru
Wakuu mh kificho anaingia ukumbini tayari kwa kazi ya kuchagua makamu mwenyekiti.