...mkuu "Skype" nawe pia hupo MJENGONI?
Mimi niko mbali sana na mkoa wa Dodoma, nashusha updates kwa msaada wa tv.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...mkuu "Skype" nawe pia hupo MJENGONI?
Nimeangalia wagombea wote naona suluhu anayonafasi ya kushinda ndiyo maana nakweleza hivyo kwa kuwa nimefanya utafiti mdogo.
Nafahamu kuwa bavicha wengi mnanigwaya na kunichukia kwa kuwapa ukweli ntaendelea kuwagonga za uso sana bavicha wote mtaipata tu mwaka huu kazi imeshaanza jana tumempata mzee wa viwango leo tutampata samia kila kitu kinakuwa ok.
amepita huyu, si wa ccm
Sio sahihi kwa Mwenyekiti na Makamu wake wote watoke kwenye kundi moja. Samweli Sitta na Samia Suluhu wote wanatoka CCM, ni wajumbe wa NEC na pia mawaziri kwenye serikali ya Muungano!
Maadam wameweka vigezo vya jinsia na asili ya mgombea, basi Makamu Mwenyekiti yes, awe ni mwanamke toka Zanzibar lakini asiwe wa kundi moja na Mwenyekiti. Vinginevyo huu mchakato wa katiba mpya unazidi kukosa uhalali mbele ya wananchi. Na huu mchakato ukihodhiwa na watu wachache wa kundi moja ni wazi ndani ya miaka 5 ijayo tutatumia mabilioni mengine tena kutunga katiba mpya.
Kikao leo ni saa 10 jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki, pia Sitta ataanza majukumu yake rasmi kesho mara baada ya kula kiapo.
Kumbe ni Kichwa huyu mama! Kwanini hakuchaguliwa kuwa waziri wa fedha au hana makundi!
Kile kipengele kimo mkuu utasikia tu mjadala wake ukifika.Fahamu kua kwenye demokrasia kuvumiliana kiitikadi ni jambo la msingi, kwa mfano mimi binafsi sina itikadi za mlengo wa ccm wala chadema wala cuf wala chama chochote lakini nawavumilieni nyote kwa kauli zenu bila kujali vyama vyenu. Tafadhali, mimi naamini ktk viongozi bora ila siamini ktk chama bora au dhaifu, kwanza nikuchokoze kidogo hivi kile kipengere cha mgombea binafsi kimo kwenye rasimu ama la? Kwa nini?
Kile kipengele kimo mkuu utasikia tu mjadala wake ukifika.
Hapana anajitahidi sana ni mzuri kwa kiasi chake ukilinganisha na aminna ally.Habari wakuu, lakini anauwezo na hicho kiti? tusije kuanza kushuhudia machozi maana ndugu zetu awa wakibanwa kidogo machozi, tuliona vurugu za akina Mtikila anaweza kuwaimili
Siyo ya kichama mkuu bali ni ile ya kitaifa katiba ya wote ndiyo itakayopatikana.Mikakati ipi hiyo ya kichama?!
mmekusanyika hapo kula hela yetu na kutuandalia katiba bora au kushiriki mikakati wa kudivert mantiki na mchakato wa katiba?
Chabruma moja ya sifa nzuri ulonayo, ww ni mwny mtazamo chanya wakati mwingi nimekuona ktk status & comment zko!
Hongera sana mkuu Chabruma