Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi Tarehe 13 Machi 2014 - Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi Tarehe 13 Machi 2014 - Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti

Ndugu zangu mnaotuletea update mkiongozwa na Chabruma nina wasalimu, mtazamo wangu uchaguzi wale kutakuwa hakuna msisimuko sana pia kutakuwa na utoro sana wawa bunge. Pia na shangaa sana unaoneka mwitikio wa wanawake kugombea ni mdogo sana na ndio walikuwa wanalia tunataka haki zetu. lakini Samiha anauwezo wa kuongoza mbunge hili maana humo ndani kunawatu ni tatizo, kwani kushika wizara ni mara 10 kuliko hilo Mbuge
Mkuu, ni kweli kuwa wanawake wengi walikuwa wanapiga kelele kudai haki zao. Ila kwa uchaguzi wa jana, ni kwamba si wanawake tu waliomgwaya Sitta hata wanaume pia waliona anatosha. Na ndo maana ushindani haukuwa mkubwa. Hiyo ndo demokrasia. Kuhusu Samiha, ni kweli anafaa kuongoza bunge hili hasa ikizingatiwa uzoefu wake katika uongozi
 
AMINA ABDALLAH AMOUR MGOMBEA NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM

MAELEZO BINAFSI KWA UFUPI:
Jina: Amina Abdallah Amour
Tarehe ya Kuzaliwa: 01/01/1951 Elimu: 1. Stashahada ya Sheria (Bournemouth,
England)

2. Shahada ya Uzamili
(Masuala ya Fedha) “Master of
Business Administration in Finance
Management” – (USA)

Uzoefu wa Kazi: § Nimefanya kazi Benki kwa miaka 23 hadi ngazi ya Meneja §

Mbunge – Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania tangu 2010
hadi sasa

“TAFADHALI NAOMBA KURA YAKO”
 
Chabruma moja ya sifa nzuri ulonayo, ww ni mwny mtazamo chanya wakati mwingi nimekuona ktk status & comment zko!

Hongera sana mkuu Chabruma
Mkuu, ahsante sana kwa hilo. Namuomba Mwenyezi Mungu ili niwe na positive thinking daima.
 
AMINA ABDALLAH AMOUR MGOMBEA NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM

MAELEZO BINAFSI KWA UFUPI:
Jina: Amina Abdallah Amour
Tarehe ya Kuzaliwa: 01/01/1951 Elimu: 1. Stashahada ya Sheria (Bournemouth,
England)

2. Shahada ya Uzamili
(Masuala ya Fedha) "Master of
Business Administration in Finance
Management" – (USA)

Uzoefu wa Kazi: § Nimefanya kazi Benki kwa miaka 23 hadi ngazi ya Meneja §

Mbunge – Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania tangu 2010
hadi sasa

"TAFADHALI NAOMBA KURA YAKO"
Mkuu, ahsante sana kwa taarifa hii. Hebu nipambanulie mkuu. Mwanzo nilipata taarifa ya Amina Ali na wewe umeweka Amina Abdallah Amour. Ni wagombea tofauti? Hebu tujiridhishe kwanza kwa hilo
 
AMINA ABDALLAH AMOUR MGOMBEA NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM

MAELEZO BINAFSI KWA UFUPI:
Jina: Amina Abdallah Amour
Tarehe ya Kuzaliwa: 01/01/1951 Elimu: 1. Stashahada ya Sheria (Bournemouth,
England)

2. Shahada ya Uzamili
(Masuala ya Fedha) “Master of
Business Administration in Finance
Management” – (USA)

Uzoefu wa Kazi: § Nimefanya kazi Benki kwa miaka 23 hadi ngazi ya Meneja §

Mbunge – Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania tangu 2010
hadi sasa

“TAFADHALI NAOMBA KURA YAKO”

9e45763baa3d8f9efad6c236fc192f19.jpg
 
Naunga mkono hoja asilimia mia moja
Nashukuru sana mkuu. Nashukuru pia kwa muongozo ulioutoa awali wakati tunaamza kufanya kazi kwa pamoja juu ya kuweka kando itikadi za kisiasa kwenye suala la Katiba Mpya. Hakika muongozo ule umekuwa dira kwetu sote na hakika tujitahidi kutowakwaza wadau
 
Mkuu, ahsante sana kwa taarifa hii. Hebu nipambanulie mkuu. Mwanzo nilipata taarifa ya Amina Ali na wewe umeweka Amina Abdallah Amour. Ni wagombea tofauti? Hebu tujiridhishe kwanza kwa hilo

mkuu' hii taarifa iko hapa jamvini, kuna bandiko kwenye hili jukwaa la Katiba, ebu ifatilie ili kujua kama kuna ukweli ndani yake!
 
Kwa kweli mama ana shule ya kutosha, lakini ninavyowajua ccm hawatampa huyo, wao ni bora wampe asiye na elimu mradi anatoka ndani ya chama chao, na kwa kweli tabia hii itawagharimu siku zijazo.
 
Wadau, tusameheane kidogo maana kuna tatizo la network kwa muda huu huku Dom. Sijui mkuu Skype kama pia unakumbana na tatizo hilo
 
MEMBER OF PARLIAMENT CV GENERAL Salutation Honourable Member
First Name: Amina
Middle Name: Amour
Last Name: Abdulla

Member Type: Special Seat

Constituent: No Constituency

Political Party: CUF

Office Location:

Office Phone: +2557774792**

Ext.: Office Fax: Office E-mail: **mour@parliament.go.tz

Member Status: Current Member

Date of Birth 1 January 1951

EDUCATION School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level Master Of Finance MASTERS DEGREE

Benbela Sec.School O-Level Education 1966 1969 SECONDARY

Rahaleo-Zanzibar Primary Education 1957 1959 PRIMARY Kisiwandui-Zanzibar Primary Education 1960 1963 PRIMARY Jang'ombe-Zanzibar Primary Education 1964 1965 PRIMARY

EMPLOYMENT HISTORY Company Name Position From To CUF
National Accountant 1999 2003 CUF National Women Assistant Director

1996 - National Bank of Commerce Accountant Grade I 1991 1995 National Bank of Commerce Supervisor 1981 1990 National Bank of Commerce Clerk 1971

1980 POLITICAL EXPERIENCE Ministry/Political Party/Location Position From To National Assembly of Tanzania Special Seat 2010.
 
Emu nisaidie sio kwamba moja ya sifa ni kuwa na shahada(degree) ya sheria? sasa huyu mbona sijaona shahada ya sheria kwenye CV yake zaidi ya hiyo stashahada(diploma).

ndio shida za kuchagua watu kwa upendeleo badala ya uwezo ... mataifa makubwa yote hayana huu ujinga wetu sijui tuangalie upabde.flani wa.muungano, jinsia, etc..... ni uwezo, uzoefu na elimu yako tu ndio inakupa uongozi
 
MEMBER OF PARLIAMENT CV GENERAL Salutation Honourable Member
First Name: Amina
Middle Name: Amour
Last Name: Abdulla

Member Type: Special Seat

Constituent: No Constituency

Political Party: CUF

Office Location:

Office Phone: +2557774792**

Ext.: Office Fax: Office E-mail: **mour@parliament.go.tz

Member Status: Current Member

Date of Birth 1 January 1951

EDUCATION School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level Master Of Finance MASTERS DEGREE

Benbela Sec.School O-Level Education 1966 1969 SECONDARY

Rahaleo-Zanzibar Primary Education 1957 1959 PRIMARY Kisiwandui-Zanzibar Primary Education 1960 1963 PRIMARY Jang'ombe-Zanzibar Primary Education 1964 1965 PRIMARY

EMPLOYMENT HISTORY Company Name Position From To CUF
National Accountant 1999 2003 CUF National Women Assistant Director

1996 - National Bank of Commerce Accountant Grade I 1991 1995 National Bank of Commerce Supervisor 1981 1990 National Bank of Commerce Clerk 1971

1980 POLITICAL EXPERIENCE Ministry/Political Party/Location Position From To National Assembly of Tanzania Special Seat 2010.
Pamoja sana mkuu. Unaweza kutuwekea CV ya Samiha Suluhu?
 
Macho yangu leo yatakuwa pima kumuangalia Mtikila kwenye dua.
 
Back
Top Bottom