Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeangalia wagombea wote naona suluhu anayonafasi ya kushinda ndiyo maana nakweleza hivyo kwa kuwa nimefanya utafiti mdogo.wewe huna utashi wa kuchagua mpaka upate order au maelekezo?
Hapana mkuu unanisingizia mimi na wakwere wapi na wapi.
Mkuu nashukuru kwa ushauri ngoja niachane nao make wanapenda uchokozi usio na maana.
Kumbe ni Kichwa huyu mama! Kwanini hakuchaguliwa kuwa waziri wa fedha au hana makundi!
Atapambana na Samia Suluhu Hassan wa CCM ambaye ni waziri anayeshughulikia Muungano. Sasa ni mtifuano wa CCM vs CUFamepita huyu, si wa ccm
Mkuu nimeshajongea twende pamoja mpaka ukumbini tutakuwa wote wala usijali tupo bega kwa bega na chabruma na wengine kibao.
Sio Ukoo wa Mapanya huyu. Elimu yake inamtosheleza na kumfanya asijipendekeze.amepita huyu, si wa ccm
Habari njema mkuu nimechelewa kidogo kuingia jukwaani siunajua vikao vya mikakati dodoma vingi kweli ila sasa mambo yako vema tunakwenda kumchagua samia mkuu.
mungu akupe afya ili twende pamoja mkuu.
Sitapenda kusoma updates za Simiyu Yao!! Maana huyo jamaa ameharibiwa na magamba. Sijui ndo ID anayoingia nayo Mkwe.re?!!