kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,677
Wadau, tusameheane kidogo maana kuna tatizo la network kwa muda huu huku Dom. Sijui mkuu Skype kama pia unakumbana na tatizo hilo
duh! na huku Dar (TANESCO) umeme umekati kwa sababu ya mvua kubwa iliyokuwa inanyesha!
"nadhani kuna umuhimu wa kuwa na simcard za mitandao yote, au uongozi wa Bunge ufanye mipango ya kufanya instalation ya Wi-fi"

